Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Achana nao wapuuzi tu haoPicha ya Zamani sana hii.
Hiyo barabara ni ya kwenda Airport, Yes ni moja Barabara kuu, hiyo ishajengwa na kuwa njia nne mpaka sita
Ipo barabara kuu nyingine inayokwenda Mpaka Sirali mpakani na Kenya
Ipo barabara nyingine inayokwenda Shinyanga mpaka Dar Es Salaam ambayo ikifika Usagara Round about inatoa tawi la kwenda Kigali na Kampala
View attachment 1320304
Sent using Jamii Forums mobile app
Hey ulikimbia bila kujibu swali langu[emoji23][emoji23][emoji23]. Back to the quiz, "Kwani before independence pictures hazikuwa na rangi? I need answer[emoji23][emoji23][emoji23]Achana nao wapuuzi tu hao
Umehama kwenye street lights tena... Unatapapa sana ww nyang'au
Answer my question[emoji23][emoji23][emoji23]Umehama kwenye street lights tena... Unatapapa sana ww nyang'au
Jamaa analazimisha mbuzi awe mkubwa kuliko ng'ombe nishamwambia neverUmehama kwenye street lights tena... Unatapapa sana ww nyang'au
Turudi zetu hapa tupate wazaminiππππππ, matangazo yetu yanakujia kwa uzamini wa kisumu city CBD ππππ
unatapatapa sana, tatizo lako ni kukurupuka tu na ulivyo kariri ππππet mara kisumu ina port kubwa kuliko Mwanza mara barabara, mbona huleti beaches zilizopo kisumu ushindanishe na zenyewe au kisumu ni landlocked city? πππππ
Yesterday Kisumu thwarted Mwanza hands down on shopping centers and real estate. Do you want another battle?[emoji23][emoji23]unatapatapa sana, tatizo lako ni kukurupuka tu na ulivyo kariri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et mara kisumu ina port kubwa kuliko Mwanza mara barabara, mbona huleti beaches zilizopo kisumu ushindanishe na zenyewe au kisumu ni landlocked city? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanza kuna Estates lakini we do not prefer Estates, tuna uwezo wa kujenga nyumba zetu nzuri tu kushinda hizo hostels, ndio maana nyie mna slums na hostels (Estates) only πππππ, mbuzi kuwa na ndevu sio kigezo cha kumzidi ng'ombe ukubwaYesterday Kisumu thwarted Mwanza hands down on shopping centers and real estate. Do you want another battle?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za ya zamani hiyo hapo chini....
Sikuoni uki comment hapa ππYesterday Kisumu thwarted Mwanza hands down on shopping centers and real estate. Do you want another battle?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza kuna Estates lakini we do not prefer Estates, tuna uwezo wa kujenga nyumba zetu nzuri tu kushinda hizo hostels, ndio maana nyie mna slums na hostels (Estates) only [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbuzi kuwa na ndevu sio kigezo cha kumzidi ng'ombe ukubwa
Between those two gani haina rangi? We jamaa ni mjinga kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Picha za ya zamani hiyo hapo chini....
Hiyo ya kisumu ni ya 2019...hadi lile libarabara lenu linaonekanaView attachment 1320489View attachment 1320491
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya za rangi hazikuwepo... Hiyo juu ni ya Sweden... Si umeshindwa kuleta picha ya yule kiongozi wenu yenye rangi...Between those two gani haina rangi? We jamaa ni mjinga kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatu kila upande hapo... Huoni kwenye hayo magari mawili kuna njia moja imebaki kushoto kabisa
Ndo nakuliza kwani kuna picha zingine hazikuwa na rangi?[emoji23][emoji23][emoji23]Kenya za rangi hazikuwepo... Hiyo juu ni ya Sweden... Si umeshindwa kuleta picha ya yule kiongozi wenu yenye rangi...
Kenya picha yenye rangi wamepata juziNdo nakuliza kwani kuna picha zingine hazikuwa na rangi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app