Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

My first quiz, nini inafanya Mwanza ikuwe ng'ombe na Kisumu ikuwe mbuzi?
Second quiz, do you have any 17 floors buildings in Mwanza?, Kisumu has 3.
Do Mwanza roads even have streets lights?


The last time I checked Kisumu economy was higher than that of Mwanza.
Kisumu real estate is better than that of Mwanza.
Kisumu has better roads than Mwanza.
Kisumu has better hospitals than Mwanza.
Kisumu has better airport than Mwanza.
Kisumu has more shopping centers than all cities in Tanzania combined outside Dar.
Kisumu has better schools than Mwanza.
The Port of Kisumu is better than that of Mwanza.
Kisumu is well planned than Mwanza.

Ni nini Mwanza inashindia Kisumu if I may ask.[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa Tamale Airport upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisumu is a City. Mwanza siku mtawacha kujenga Vibanda and start building actual skylines kama hii hapa unitag[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Is this a city
kisumucityke_20200112_224417_0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wale wanaoiita mbeya city tuwaiteje[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali kwanza[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Unaruka ruka nini sasa
Huwezi shindanisha city ya hivi na Mwanza hii washindane na ndugu yake mbeya city, maana hapa ni kama tunashindanisha mbuzi (kisumu) na ng'ombe (mwanza) mara mwingine aseme mbuzi ana ndevu ng'ombe hana but that doesn't mean mbuzi ni mkubwa kuliko ng'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ya Zamani sana hii.

Hiyo barabara ni ya kwenda Airport, Yes ni moja Barabara kuu, hiyo ishajengwa na kuwa njia nne mpaka sita

Ipo barabara kuu nyingine inayokwenda Mpaka Sirali mpakani na Kenya

Ipo barabara nyingine inayokwenda Shinyanga mpaka Dar Es Salaam ambayo ikifika Usagara Round about inatoa tawi la kwenda Kigali na Kampala
View attachment 1320304

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuonyeshe hzo za sasa...
Halafu hzo unazoongelea zinapatikana hapo hapo mjini au unamaanisha barabara zile zinazounganisha miji(highways)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza kuna Estates lakini we do not prefer Estates, tuna uwezo wa kujenga nyumba zetu nzuri tu kushinda hizo hostels, ndio maana nyie mna slums na hostels (Estates) only [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbuzi kuwa na ndevu sio kigezo cha kumzidi ng'ombe ukubwa
Nakumbuka ile siku ulisema hostels maana yake ni nyumba zilizofanana...
Yani nilicheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliziacha google hko, ukaamua kuchukua ambazo zitawafurisha vinwengo wenzio..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 2004 kisumu ilikuwa na watu laki 5 halafu 60 percent ya population yake wanaishi kwenye slums, vipi kuhusu sasa hivi ambapo population ya wakazi imeongezeka zaidi 😂😂😂 hapo si population ya wanaoishi kwenye slums imeongezeka zaidi.
 
Back
Top Bottom