komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Usisahu pia kenya inaongeza kw ukuaji wa middle class EA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2004 ilikuwa na watu laki 5 huku 60 percent wakiishi kwenye slums,
2019 ilikuwa na watu laki 8 kasoro [emoji23][emoji23][emoji23] na hapa wanaoishi kwenye slums waliongezeka maradufu,
Usisahau pia kenya inaongoza kwa ukuaji wa slums.View attachment 1321226
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta za 2000 uje uwafurahishe vibwengo wenzio[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app