Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Maegesho yapo wapi hapo??
Yani unapoambiwa mombasa nairobi highway service road ni km 10km haimaanishi ipo moja kwa moja jomba...

Yani kiufupi imekatwa katwa, kw mfano hyo ya mwanza..barabara ni 4 lanes lkn kuna mahali kuna six lane, na hyo lane ya mwisho mlipoleta picha nimeona gari la abiria limeegesha hku mbili zikiachwa kutumika..

Sasa six lane gani hyo eti lane moja kunaegeshwa magari ya abiria

Sent using Jamii Forums mobile app
2239412_IMG_20191212_133054%20(1).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali kwanza[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Unaruka ruka nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu na Mbeya ni city kwa population that's the main criteria considered kwa hizo miji kuwa city, piga ua!! 😂😂😂😂mbuzi (kisumu) hata kama ana ndevu na ng'ombe(mwanza) hana, ng'ombe ataendelea kuwa mkubwa milele daima 😂😂😂😂😂(kama huwezi nielewa kwa lugha ya picha pole!!!)
 
Kisumu na Mbeya ni city kwa population that's the main criteria considered kwa hizo miji kuwa city, piga ua!! 😂😂😂😂mbuzi (kisumu) hata kama ana ndevu na ng'ombe(mwanza) hana, ng'ombe ataendelea kuwa mkubwa milele daima 😂😂😂😂😂(kama huwezi nielewa kwa lugha ya picha pole!!!)
Kapotelea kusikojulikana
 
Hujaeleweka
 
Kisumu na Mbeya ni city kwa population that's the main criteria considered kwa hizo miji kuwa city, piga ua!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbuzi (kisumu) hata kama ana ndevu na ng'ombe(mwanza) hana, ng'ombe ataendelea kuwa mkubwa milele daima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](kama huwezi nielewa kwa lugha ya picha pole!!!)
Km kisumu ni city kw ajili ya population, mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Manake kisumu imeipiga mwanza na chini karibia kila sekta..
Je mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kapotelea, kisumu ni city kw ajili ya idadi ya watu, je mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake barabara zero,
Malls zero,
Makaazi zero,
Kiuchumi zero,

Wivu mbaya jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza niambie kwanza kisumu ina slums ngapi? 😂😂😂😂wewe ndio unawivu! unaletewa vitu unabwabwaja tena kama sio wivu hio ni uchawi kabisa 😂😂eti makazi zero, utalinganisha na 60%ya kisumu inayokaa kwa zile slums, Nyalenda wengi wanaijua humu, mnazani siijui obunga slum, manyatta slum? na nyinginezo
 
  • Thanks
Reactions: Oii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wivu utakutesa sana? yaani watu wanaziona barabara wewe umekazana kupinga [emoji23]
Napinga nn wakati daladala husimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Six lane ya aina gani hyo[emoji122][emoji122][emoji122]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom