Kisumu vs Mwanza

Depay kaikana mchana kweupe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anadai ni 1920 kabaki kichaa mmoja naye aikatae au aikubali tumalize mjadala,
 
Ebu leta hizo picha za Uhuru zenye hazina rangi, ukileta nahama JF[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo rangi acha kwanza tunajua kabisa before first world War rangi hazikuwepo twende hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡is this the current Kisumu city CBD unayopigia debe? au ni hivyo hivyo 1920
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo Kisumu yako kalinganishe na Mbeya maana ni ndege wanao fanana, sababu utatusumbua bure tu kutuletea lile daraja mnaloita flyover!
Ati. Mbeya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii Uchafu inakaa Genocide ndio unataka kulinganisha na Kisumu City.
#Mbeya vs Mwanza airport [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…