Kisumu vs Mwanza

Maegesho yapo wapi hapo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali kwanza[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Unaruka ruka nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu na Mbeya ni city kwa population that's the main criteria considered kwa hizo miji kuwa city, piga ua!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbuzi (kisumu) hata kama ana ndevu na ng'ombe(mwanza) hana, ng'ombe ataendelea kuwa mkubwa milele daima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(kama huwezi nielewa kwa lugha ya picha pole!!!)
 
Kapotelea kusikojulikana
 
Hujaeleweka
 
Km kisumu ni city kw ajili ya population, mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Manake kisumu imeipiga mwanza na chini karibia kila sekta..
Je mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kapotelea, kisumu ni city kw ajili ya idadi ya watu, je mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake barabara zero,
Malls zero,
Makaazi zero,
Kiuchumi zero,

Wivu mbaya jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza niambie kwanza kisumu ina slums ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wewe ndio unawivu! unaletewa vitu unabwabwaja tena kama sio wivu hio ni uchawi kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚eti makazi zero, utalinganisha na 60%ya kisumu inayokaa kwa zile slums, Nyalenda wengi wanaijua humu, mnazani siijui obunga slum, manyatta slum? na nyinginezo
 
Reactions: Oii
Unajifanya hukuiona ile picha mwenzako aliyoileta karibu na rock city mall...

Halafu naona umeleta upande kuna fence, hapo lazima gari haitosimama...

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wivu utakutesa sana? yaani watu wanaziona barabara wewe umekazana kupinga πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wivu utakutesa sana? yaani watu wanaziona barabara wewe umekazana kupinga [emoji23]
Napinga nn wakati daladala husimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Six lane ya aina gani hyo[emoji122][emoji122][emoji122]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…