Haha mbona kama nyumba ni computer generated image
Wivu!!!! Hahaha... Yaani mi nionee wivu hiki kijiji...Halafu mnaleta battle eti...kisumu and mwanzaEti kapotelea, kisumu ni city kw ajili ya idadi ya watu, je mwanza tusemeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake barabara zero,
Malls zero,
Makaazi zero,
Kiuchumi zero,
Wivu mbaya jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
THIS MWANZA THING IS NOT IN THE LEVELS OF KISII......
Look at this dumb.... Ndo nn hiyo...bora hata iringa
Sasa ulitaka barabara zote ziwe zaidi ya njia mbili... Au umeambiwa hiyo ni barabara kuu..
Linganisheni kisumu na Arusha[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza iko na airport Kwanza? Ebu tuonyeshe hio kibanda yenu. Kusema Ukweli, Kisumu is more developed infrastructure wise. Mwanza is a bigger town but pathetic in terms of infrastructure. Mwanza haiwezi qualify kuwa City Kenya. Linganisha Mwanza na Eldoret.
Nyinyi ni LDC kabisa.Sasa ulitaka barabara zote ziwe zaidi ya njia mbili... Au umeambiwa hiyo ni barabara kuu..
Ni hapo hapo! for clear images ππ
LDC in written papers! But Middle class in reality unlike you who have been fooled ππππ
You can't be a middle income country if 65% of your population is uneducated and only 32% have access to electricity with a total of 7000km of paved roads[emoji23][emoji23][emoji23]LDC in written papers! But Middle class in reality unlike you who have been fooled [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hata exposure hauna.... Mshamba tu
Ivi unajua hata distance pekee ya kutoka mwanza to Dar es salaamu is how many km? Currently in Tanzania hakuna kijiji kisichokuwa na umeme nyang'au weweYou can't be a middle income country if 65% of your population is uneducated and only 32% have access to electricity with a total of 7000km of paved roads[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache utani, yaani wewe hauna tofauti na wagonjwa wa akili unakaribia kuwa level ya foundation πππππhuwa huwezi kureason sjui kabla hujabwabwaja maneno! in short huwa huna hojaYou can't be a middle income country if 65% of your population is uneducated and only 32% have access to electricity with a total of 7000km of paved roads[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Less than 1000kmIvi unajua hata distance pekee ya kutoka mwanza to Dar es salaamu is how many km? Currently in Tanzania hakuna kijiji kisichokuwa na umeme nyang'au wewe