Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Wakenya akili zao sijui zina nini maana sio kwa kujikweza huko! Eti middle income country, ulishaona wapi middle income country ikawa bado inakumbwa na njaa na ina receive food donation kutoka inch za jangwani?

Sawa bibiye Mwaarabu
 
And I am asking you is that a measure of Development for any " sane" fool like you
Fool r u suggesting those vessels r parked not doing any economic activities? do u think those vessels r like ur loss making KQ and SGR?
 
These characters, Geza, Mrs Bagamoyo, Mwalo Chibya Bibiye Waarabu, na Roberto 20 Garden boy wa Mwaarabu are Jobless indigos who can only be in JF the entire day bootlicking fisiem. May thunder strike them all dead
 
Mwanza yenyewe haitoshi kw arusha, halafu unaitaja kisumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza imeizidi Kisumu cbd tuu na population kubwa lakini kimapato,miundombinu,mavyuo,viwanda,estates and housing imepigwa sana huu ni ukweli
Nakubaliana nawe kwamba Mwanza haijaishinda Arusha kwa kitu chochote cha maana even Dodoma is outshining Mwanza
 
We nae unataka kuwa mshamba sasa, Arusha iko nyumba ya Mwanza tena mbali tu na nina kuhakikishia by 25 Arusha itakuwa nyuma ya Dodoma pia
Acha uongo mkuu,majiji 3 ambayo ukikaa mwaka ukijaenda utakuta yamebadilika kwa kasi ya ujenzi ni Dar,Arusha na Dodoma tuu
Ishu ya Dom kuipita Arusha sio ajabu hata Mwanza itapitwa tuu the same year maana sioni kipya huko Mwanza zaidi ya kuongoza kwa umaskini kila takwimu
 
Things are Changing Arusha ijipange aiseh hata Moro pia inakuja kivingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ije kivipi Moro haiwezi kuipita Arusha sema itapata advantage ya miundombinu mizuri kwa vile iko katikati ya Dar na Dom
4 lanes dual carriage kutoka Dom-Moro-Dar itaipendezesha Moro na kuifanya busy plus SGR .Kifupi Moro iyakuwa ni moja ya junction town iliyo busy sana kwa sababau ya kupitiwa na Tanzam road na kuwa kati ya miji mikuu ya Tzn
Ila usisahau pia kuwa dualling of Arusha-Moshi-Horiri/Taveta highway is on pipeline
 
Hata kwenye
ila lets be frank Arusha kwa leasure facilities ipo juu ya Mwanza yaani number of quality hotels (5 star), pubs, nyama choma joints, shopping malls and other recreation activities like Fredkin recreation center, Themi Falls Leisure park n others! Mwanza mpaka sasa haina golf course hata moja wakati Arusha ina viwili Gymkhana na Ngurdoto Crater na ukichanganya na ya Kilimanjaro Golf though nje ya mji (Arumeru),ni cha tatu! Several conference centers pia! Arusha cultural heritage center! Kwenye number of proper international schools (Cambridge IGSE and IB syllabuses), Arusha inashindana na Dar!
BTW Arusha ina uwezo wa ku-host any kind of tourists from those who want to stay in hotels for many people to those that r strictly private like the ones Abravomich and his entorage stayed i.e. high class lodges (5 star)!
Hata kwenye mzunguko wa pesa,viwanda,u busy,ma vyuo na ustaarabu wa mji Arusha iko mbele sana ya Mwanza,Dar tu ndio mshindani
Mwanza ligi zake ni Dodoma na Mbeya ndio wanafanana kwa sifa nyingi
 
On malls u talk of size vs quantities Arusha has about three standing alone malls aside those arcades found in parastatals' premises! I dont believe Mwanza is far more famous than Arusha in nyamachoma joints may be in fishchoma! Aside 5 star hotels kitchen kuna places like Machweo from Onsea house (Belgium establishment) even Presidents can go for dinner! Uliza those billionaires that come for safari! On leasure only Zanzibar n Dar can rival! But economical Mwanza has more diversified activities than Arusha!
Hata estates, housing na scenary etc naipa Arusha points zaidi ya Mwanza..fishchoma haaaaa
 
Tanzania even doesn't have a proper education system. That's why they hire teachers from Kenya to teach them[emoji23][emoji23]
Have you answered my question? Nowonder your education system teaches Albino hunting and who told you on heaven's door that the number of marine motors is a measure of development? Luxemburg as small as Pemba without all those shenanigans is a bigger economy than you devil worshipers. And this Roberto 20 thing is she your wife? Can see Everytime you jump, (s)he likes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fool r u suggesting those vessels r parked not doing any economic activities? do u think those vessels r like ur loss making KQ and SGR?
The last time I remember ATCL made a loss of 10b with liabilities that are more than its assets. The planes are parked at the Mwanza mabati rolling mill due to lack of customers. On the other hand KQ carried the second highest passengers across Africa after Ethiopian airline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Malaika beach resort nilikuwa naisikia sana, kumbuka ile sio hotel moja kwa moja ni beach resort kitu ambacho huwezi kuta Arusha sababu arusha ni landlocked city
Lake Duluti lodge?

c346749433bca70ca0fca98ad2fadc3f17695fab.jpeg


8f83a20d678ee40ba836aa82bd96bbb813e858d0.jpeg

217791284.jpg
 
Back
Top Bottom