Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Je wale wanaoiita mbeya city tuwaiteje[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga nyie,Mbeya is city it is gradually catching up city civilization in all life arenas not as it used to be na i love the town sio lazima iwe kama zenu
Zamani kulikuwa hakuna hata majengo marefu hadi tukaweka sherehe za uzinduzi wa rift kwenye jengo moja na la kwanza kwa mbeya kuwa na lift 6floors lakini kwa sasa tuna majengo 2 yenye 10 floors na mengine uncountable ya 4 to 6 floors hamuoni hayo ni maendeleo? Tumepata hadi supermarket/mall 1 sasa so msitudharau maaana we are developing,the mbeya u knew 5 yrs ago is quite different from present one
 
Hapo ulipoweka supermarket/mall unamaanisha nn...?
 
Si mnazo estates huko?
emu soma post yangu uielewe boss estates nilizobase hapa ni za viwanja na wingi wa estate hizo na wananchi wanavonunua ila kujenga inaweza chukua miaka 4 ndio ukaja ukaona manufaa ya estate dealers kuwepo wengi sasa ukiniambia picha za estates me nnatolea wp drone ya kwenda kupiga maeneo yaliyopimwa yenye karibia heka 70 ili nkutumie au unataka je mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The like ya mtu una urgue nae humu ni uzao wa ccm huwa hawakubali ukweli,nimesema kwa cbd mwanza iko vizuri lakini kwa factors zingine kama ulivyotaja hapo juu Kisumu ni zaidi na ina deserve city status kuliko mwanza maana city sio tu cbd kama hiyo ni case Iringa iwe city coz cbd yake iko covered na majengo marefu
 
Acheni ujinga nyie,Mbeya is city it is gradually catching up city civilization in all life arenas not as it used to be na i love the town sio lazima iwe kama zenu
Zamani kulikuwa hakuna hata majengo marefu hadi tukaweka sherehe za uzinduzi wa rift kwenye jengo moja na la kwanza kwa mbeya kuwa na lift 6floors lakini kwa sasa tuna majengo 2 yenye 10 floors na mengine uncountable ya 4 to 6 floors hamuoni hayo ni maendeleo? Tumepata hadi supermarket/mall 1 sasa so msitudharau maaana we are developing,the mbeya u knew 5 yrs ago is quite different from present one
mhh apo kwenye mall mkuu au supermarket naomba nielekeze iko wp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The like ya mtu una urgue nae humu ni uzao wa ccm huwa hawakubali ukweli,nimesema kwa cbd mwanza iko vizuri lakini kwa factors zingine kama ulivyotaja hapo juu Kisumu ni zaidi na ina deserve city status kuliko mwanza maana city sio tu cbd kama hiyo ni case Iringa iwe city coz cbd yake iko covered na majengo marefu
point hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emu soma post yangu uielewe boss estates nilizobase hapa ni za viwanja na wingi wa estate hizo na wananchi wanavonunua ila kujenga inaweza chukua miaka 4 ndio ukaja ukaona manufaa ya estate dealers kuwepo wengi sasa ukiniambia picha za estates me nnatolea wp drone ya kwenda kupiga maeneo yaliyopimwa yenye karibia heka 70 ili nkutumie au unataka je mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe viwanja... Alright.
 
Mwanza hamna six lane, ni two lanes halafu kuna mahalai mmeongezea service lane km 100m hivi..
Kadanganye wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu huu upuuzi nimeanza kuona maeneo mengi ya miji ya Tzn yaani wakiona traffic inakuwa kubwa wana damp vifusi pembeni ya barabara wana apply mechanical means then wana mwanga lami nyepesi na makokoto et tayari lami then wanafanya markings at ndo tayari wamepanua roads vi mita kadhaa
Ifike mahali wabongo tuwe siriasi tunapojenga miundombinu tujue kuna kesho hii kufanya zima moto imepitwa na wakati bora kuweka road reserve katikati, kama pale sum nujoma road au wenzetu kama kenya wanavyofanya ili hata ukitaka kuongeza lanes inakuwa rahisi na barabara zinapendeza sio kama hizo za mwanza,lakini pia tujifunze kujenga barabara za dual carriage ili mataa yawe katikati 2 lanes zimepitwa na wakati
 
tayari washajenga nanenane yani mbeya ukweli usemwe pako kama pana sahaulika na pia vijana wakishakua kidogo wanakimbilia miji mingine unakuta hata uwekezaji huku ni mdogo tu sio wa kutisha japo panajengeka ila bado mbeya kwenye majengo na barabara wanachelewa na nnaongea ivo maana nimekaa mbeya huu mwaka wa tatu sioni progress za kushtua

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelewa ufike,panachekesha saizi ila serikali ikimaliza huko mnakoshindana resources zitaelekezwa huko
Nanenane hakuna kilichojengwa zaidi ya stend ya daladala na uwanja wa maonyesho lakini lile eneo la chuo cha kilimo loote litakuwa makazi ya watu,biashara na taasisi litaficha slums zote za mbeya..
Barabara ya kuanzia mbeya/uyole hadi Tunduma itakuwa dual carriage itabadili sura ya miundombinu ya mbeya,mradi unaendelea kwa sasa umeishia igawa
Mbeya bypus kuanzia uyole hadi mbalizi itaondoa malori mjini,pia kuna barabara inafanyiwa usanifu kuanzia mjini/sokomatola all the way to uyole via isyesye ko wait ni suala la mda tuu bila kusahau ile iwambi yote ilipo minara ya tbc ni eneo la kujenga sattelite city
Mwisho kuanzia songwe hadi ifisi opposite na iirport kuna project ya mji mpya pia so mambo mazuri yako mbele,Mbeya mnayoijua haitakuwa hii mnayopondea sasa
 
bypus ndo nini?
 
Hatua nzur sana... Not everything in Dar es salaam.
Ofcouse Mwanza is more close to major mining centers hence having many mining related activities including international laboratories and mining equipment firms just like Arusha more close to many most famous touristic attractions hence more leasure places including hotels and restaurants!
 
Back
Top Bottom