Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

We share the same lake... Kwan nn mna vyombo vichache vyenye kutu mnazidiwa hadi na waganda?
naona you share same lakes and share the same amount of stupidity like your bum soldier Giza ulole
 
Mushaambiwa wekeni picha za makazi ,humu zimejaa picha za cbd tuu,,huko Kisumu tunaona wanaweka angalau hata hizo mitaa 2 uliyoitaja.Mji wowote ukishakuwa hauna mipango miji ni slums tu haijalishi nyumba ni za hadhi gani mfano Goba kwa Dar napafahamu vizuri ni mtaa wa watu wa kipato cha kati na juu lakini no planning ni slums tu
Map of Mwanza city hiyo hapo, nitajie ward ambayo haina planning uje na evidence ya images otherwise usituaminishe unachoamini with no proofs.
Mwanza_City_Map-Tanzania.png
 
Mushaambiwa wekeni picha za makazi ,humu zimejaa picha za cbd tuu,,huko Kisumu tunaona wanaweka angalau hata hizo mitaa 2 uliyoitaja.Mji wowote ukishakuwa hauna mipango miji ni slums tu haijalishi nyumba ni za hadhi gani mfano Goba kwa Dar napafahamu vizuri ni mtaa wa watu wa kipato cha kati na juu lakini no planning ni slums tu
Map of kisumu city hiyo hapo tafuta popote images za manyatta, Nyalenda, and obunga na Kondole na Nyamasaria na baada ya hapo stop living under poor beliefs
kaart-kisumu-2-300x271.png
 
Mushaambiwa wekeni picha za makazi ,humu zimejaa picha za cbd tuu,,huko Kisumu tunaona wanaweka angalau hata hizo mitaa 2 uliyoitaja.Mji wowote ukishakuwa hauna mipango miji ni slums tu haijalishi nyumba ni za hadhi gani mfano Goba kwa Dar napafahamu vizuri ni mtaa wa watu wa kipato cha kati na juu lakini no planning ni slums tu
Kisumu ina slums nyingi kuliko hata zilizopo Nairobi, em nihesabie idadi yake 👇👇👇

Back
Top Bottom