Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

namaanisha kuna shopping mall moja inaitwa tughimbe
tughimbe ni hotel boss na ina maduka machache kwa floor ya chini ila sio shopping center wala mall ile ni hotel na inabest halls za mikutano afu pia mhandishi house uliyonitajia google haipo afu mm siipondi mbeya hapana kwanza ni my favorite place tz ila kwa project ulizotaja hapo hio ya bypass ya uyole to mbalizi ndio iko real and very near nazani mwaka huu wakiamua inaweza kuanza ila dual carriage ya kwenda tunduma hapana hio haiko izo ni assumption zako unazotamani ziwe pia kuhusu stend ya nanenane ni kweli ile n ya daladala na bus za wilayani kuhusu project ya road ya kwenda mbalizi via isyesye hio nayo haipo maybe kwenye 2025 ndio tutazamie kuhusu iwambi satellite city sizani maana iwambi yenyewe imejengeka vizury mno naweza sema inaweza ikaipita forest kwa makazi sasa pale sijaona wapi utaweka satelite city wakati iwambi imejengeka labda wa add shopping center ndio hamna ila mpaka sasa boss mbeya shopping center au mall au plaza au hata complex ya maana kwa mbeya hakuna hata cinema hall ya watu 100 hakuna ninavoongea ivi huu ni ukweli mkuu ila baada ya 2024 nazani mbeya ndio itaanza kushine mnoo ila kwa sasa na few years to come mbeya hapana changes kubwa japo kuna mbeya mall wameplan kujenga karibia na sokoine pale natamani sana ianze ila halmashauri inasuasua mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tughimbe ya nani?
hotel5.jpg

hotel2.jpg

Ila Mbeya wasipoangalia vizuri Iringa watawapiga bao! Iringa wana mamko zaidi wa maendeleo! Kuna projects za TBL Tanzania Malting, Mufindi tea, Mgololo paper, Mufindi chicks na National Milling zikikamilika zitaipa uhai Iringa ukijumlisha na uwepo wa higher learning institutions!
 
na kwa sasa iringa wana majengo marefu na barabara nzury zaidi ya huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tughimbe ya nani?
hotel5.jpg

hotel2.jpg

Ila Mbeya wasipoangalia vizuri Iringa watawapiga bao! Iringa wana mamko zaidi wa maendeleo! Kuna projects za TBL Tanzania Malting, Mufindi tea, Mgololo paper, Mufindi chicks na National Milling zikikamilika zitaipa uhai Iringa ukijumlisha na uwepo wa higher learning institutions!
Hizo projects ziko mjini Iringa au huko kwenye miji ya wilayani? Iringa haiwezi hata iwe na majengo marefu kila kijiji ujue nguvu ya population ni mtaji sana na uchumi wa mbeya uko complex kwa vitu vingi ikiwemo biashara ,wakati Iringa manispaa ina mapato around 4bln Mbeya city ni around 12 bln ,the same to gdp,wanaanzaje kuipiku kwa mfano
Jamani mbeya haijalala kama mnavyotaka kuaminisha watu,ni juzi tu nilikuwa huko nyumba nyingi za ghorofa zinaoteshwa not necerrily ziwe high rise buildings.
Kuhusu vyuo Iringa ina kama vi 3 tu Ruaha,Mkwawa, na Iringa university wakati Mbeya kuna MUST,Mzumbe,SAUT,TAA,Utumishi wa Umma,CBA,OUT,TEKU,na Tumaini Mbeya Campus
 
mapato mbeya mwaka jana hayakufika 9bln

Vyuo vitatu lakini vikubwa! Uchumi wa Iringa pia kuna chai, mbao pia na nafaka pia! Kuna agriproducts firms kama Silverlands pia kuna tumbaku pia! Halafu Iringa ina international school Mbeya ni jiji na halina! Ruaha NP pia inafunguka! Mbeya ikae chonjo!

The like ya mtu una urgue nae humu ni uzao wa ccm huwa hawakubali ukweli,nimesema kwa cbd mwanza iko vizuri lakini kwa factors zingine kama ulivyotaja hapo juu Kisumu ni zaidi na ina deserve city status kuliko mwanza maana city sio tu cbd kama hiyo ni case Iringa iwe city coz cbd yake iko covered na majengo marefu
Unaifahamu vizuri mwanza outside cbd lakini au unaongea tu mzee baba? Na hata hiyo Kisumu naona huijui vizuri outside Tom boya and Mlimani Estates! out of that most of the places na makazi ni hovyo
 
Mwanza imeizidi Kisumu cbd tuu na population kubwa lakini kimapato,miundombinu,mavyuo,viwanda,estates and housing imepigwa sana huu ni ukweli
Nakubaliana nawe kwamba Mwanza haijaishinda Arusha kwa kitu chochote cha maana even Dodoma is outshining Mwanza
😂😂😂unajua mwanza ilivyo outside cbd 😂😂kuhusu mwanza na arusha usiaminishe watu bila facts! ninachojua arusha inaishinda mwanza idadi ya 10+f towers only
 
Unaifahamu vizuri mwanza outside cbd lakini au unaongea tu mzee baba? Na hata hiyo Kisumu naona huijui vizuri outside Tom boya and Mlimani Estates! out of that most of the places na makazi ni hovyo
Mushaambiwa wekeni picha za makazi ,humu zimejaa picha za cbd tuu,,huko Kisumu tunaona wanaweka angalau hata hizo mitaa 2 uliyoitaja.Mji wowote ukishakuwa hauna mipango miji ni slums tu haijalishi nyumba ni za hadhi gani mfano Goba kwa Dar napafahamu vizuri ni mtaa wa watu wa kipato cha kati na juu lakini no planning ni slums tu
 
wacha ujinga kuisifia Kisumu ambayo ichoboy01 aliweka picha zake humu ni utovu wa nidhamu Kisumu haifikii Mwanza hata nusu!
 
Mwanza hata kwa Kisii peke yake ng'o…...Hata Malindi embarrasses this thing you call Mwanza vibaya sana.Just stop your shenanigans of trying to force your Mwanza village into our third largest...It does not fit.
 
Kama Mwanza alone ina watervessel than the whole of Kunyaland what is Kisii?

I have asked you whether water vessels is a measure of development and gave a classic example of Luxembourg the size of Pemba without the rubbish you are singing about here...….Luxembourg has a larger economy than the whole of Danganyika.Acha kujiabisha na aibu ndogo ndogo kama hizo...Mwanza is pure rubbish
 
Luxembourg imepakana na chanzo gani cha maji hadi wawe na water vessels?
 
Back
Top Bottom