Kisumu vs Mwanza

Wakenya akili zao sijui zina nini maana sio kwa kujikweza huko! Eti middle income country, ulishaona wapi middle income country ikawa bado inakumbwa na njaa na ina receive food donation kutoka inch za jangwani?

Sawa bibiye Mwaarabu
 
And I am asking you is that a measure of Development for any " sane" fool like you
Fool r u suggesting those vessels r parked not doing any economic activities? do u think those vessels r like ur loss making KQ and SGR?
 
These characters, Geza, Mrs Bagamoyo, Mwalo Chibya Bibiye Waarabu, na Roberto 20 Garden boy wa Mwaarabu are Jobless indigos who can only be in JF the entire day bootlicking fisiem. May thunder strike them all dead
 
Mwanza yenyewe haitoshi kw arusha, halafu unaitaja kisumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza imeizidi Kisumu cbd tuu na population kubwa lakini kimapato,miundombinu,mavyuo,viwanda,estates and housing imepigwa sana huu ni ukweli
Nakubaliana nawe kwamba Mwanza haijaishinda Arusha kwa kitu chochote cha maana even Dodoma is outshining Mwanza
 
We nae unataka kuwa mshamba sasa, Arusha iko nyumba ya Mwanza tena mbali tu na nina kuhakikishia by 25 Arusha itakuwa nyuma ya Dodoma pia
Acha uongo mkuu,majiji 3 ambayo ukikaa mwaka ukijaenda utakuta yamebadilika kwa kasi ya ujenzi ni Dar,Arusha na Dodoma tuu
Ishu ya Dom kuipita Arusha sio ajabu hata Mwanza itapitwa tuu the same year maana sioni kipya huko Mwanza zaidi ya kuongoza kwa umaskini kila takwimu
 
Things are Changing Arusha ijipange aiseh hata Moro pia inakuja kivingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ije kivipi Moro haiwezi kuipita Arusha sema itapata advantage ya miundombinu mizuri kwa vile iko katikati ya Dar na Dom
4 lanes dual carriage kutoka Dom-Moro-Dar itaipendezesha Moro na kuifanya busy plus SGR .Kifupi Moro iyakuwa ni moja ya junction town iliyo busy sana kwa sababau ya kupitiwa na Tanzam road na kuwa kati ya miji mikuu ya Tzn
Ila usisahau pia kuwa dualling of Arusha-Moshi-Horiri/Taveta highway is on pipeline
 
Hata kwenye
Hata kwenye mzunguko wa pesa,viwanda,u busy,ma vyuo na ustaarabu wa mji Arusha iko mbele sana ya Mwanza,Dar tu ndio mshindani
Mwanza ligi zake ni Dodoma na Mbeya ndio wanafanana kwa sifa nyingi
 
Hata estates, housing na scenary etc naipa Arusha points zaidi ya Mwanza..fishchoma haaaaa
 
Tanzania even doesn't have a proper education system. That's why they hire teachers from Kenya to teach them[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fool r u suggesting those vessels r parked not doing any economic activities? do u think those vessels r like ur loss making KQ and SGR?
The last time I remember ATCL made a loss of 10b with liabilities that are more than its assets. The planes are parked at the Mwanza mabati rolling mill due to lack of customers. On the other hand KQ carried the second highest passengers across Africa after Ethiopian airline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…