Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro, Tusidanganyane. Mombasa Iko ligi yake. Mwanza ikifika hapa nitag[emoji116][emoji116][emoji116]Hii ndo rock city kiukweli ni zaidi ya Mombasa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mwanza is bigger but Kisumu has better infrastructure and is better planned and more beautiful. Generally more developed. Hiyo CBD ya Mwanza uchwara sana. Huwezi linganisha na Kisumu.Rock city sio ya kulinganisha viji vinavyotumia baiskeli kama usafiri wa umma.Mwanza ni habari nyingine hiyo Eldoret haifiki hata nusu ya Arusha labala kidogo Kisumu na Arusha city.
View attachment 1739483
View attachment 1739484
View attachment 1739487
Mwanza kupita Mombasa basi hiyo itamaanisha kuwa ishapita Dar juu Mombasa is better than Dar. Mwanza enyewe hata haina paved roads in her CBD, haina sidewalk, haina stadium ya kulinganisha na ya Kisumu, haina airport ya maana, ni chafu, iko na GDP ndogo kuliko Kisumu despite have huge number, Kisumu Port perfoms better than Mwanza Port, Mwanza haina maakazi ya maana, retail sector ya Mwanza is imature.Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa