Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Usipende kufanya kitu kinaitwa anticipation fanya siku moja uje Mwanza then ndo ufanye hiyo maelezo yako.
 
Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
Take your time and visit Kisumu too. Then you'll learn to take both the positive and negative reviews, sio unakubaliana na yale yanayokufurahisha na yasiyokufurahisha unayakaa hata kama ni kweli.
 
The planning of Kisumu beats all the other cities in East Africa in the sense that no major highway crosses the CBD making it cleaner and more organized. Other cities should follow the same design.
 
Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbinu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophistication
Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
kabla hauja linganisha mwanza na mombasa.. nakusihii utazame kwanza clip/video ya mombasa kwenye ukurasa 161
 
pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbiu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophistication

Tatizo lenu ndugu zangu wakenya mnapenda kujifariji na kujimwambafy kwamba kila kitu kiko Kenya.Ila ukweli ni kwamba wakenya mnaaminishwa ujinga.Kuhusu Mwanza waulizeni waganda,warundi,wakongo,wanyarwanda na wasudani kusini watakwambia.Kumbuka mwanza ndo kituo cha madini east africa,mwanza ndo ina watu wengi baada ya Dar,Nairobi na kampala,Ndo kituo kikuu cha biashara baada ya Dar,kampala na Nairobi,Mwanza ndo jiji pekee lenye kiwanda cha kutengeneza Meli na vivuko east africa.Ila kumbuka watu hawakimbilii kwenye njaa watu uenda kunako neema.Wingi wa watu mwanza kunaashiria neema.Kisumu siazi yake ni Arusha city.
 
Hii ndo Mombasa unayoisifia which looked like big slums

Screenshot_2021-01-20-19-27-41.png
 
Mpambano wa majiji mawili ya kanda ya ziwa

Mbona picha nyingi za Nairoberry? Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kulinganisha Mwanza na Kisumu. Kwa Mwanza, Kisumu ni kijiji siyo jiji wala mji kama tutakuwa wakweli na kuacha propaganda za kitapeli wanangu.
 
Hii ndo Mombasa unayoisifia which looked like slums

View attachment 1756052
How conviniently you pick up pic of mombasa old town to depict the whole of mombasa, you want to fool Kenyans how kenyan cities look when we actually live in kenya.

That is mombasa old town a historical heritage dating thousands of years which we are very proud of, much like venice.unfortunately it covers a small part of the island.the rest of the island is way more organized than dar and well built.

You talk of business in mwanza being more vibrant than kisumu when you people are so lazy as they come.an average kenyan is more productive than say 5 tanzanians.how many firms have come out from mwanza to score the business point?

You go ahead to include size to make a point but the reality in Tz is you have big messed up cities with most areas being slummy.
 
Imejaa vinyesi na ombaomba na machokoraa kuliko Tanzania. Mkenya akienda Tanzania harudi kwao sawa na mhindi lakin Mtz akienda Kenya hakaangi.
infact street families waliomo nairobi na mombasa ni waTz. wanawapa serikali jukumu ngumu kuwafurusha na kuwa depot back to tz kila uchao. nyie waTz mkishindwa kuenda africa kusini, wengi mwaona heri kuenda kenya. nende Gikomba market, pale utapata kabila zote za tz, na wako huku kihalali, no documentation whatsoever
 
Tatizo lenu ndugu zangu wakenya mnapenda kujifariji na kujimwambafy kwamba kila kitu kiko Kenya.Ila ukweli ni kwamba wakenya mnaaminishwa ujinga.Kuhusu Mwanza waulizeni waganda,warundi,wakongo,wanyarwanda na wasudani kusini watakwambia.Kumbuka mwanza ndo kituo cha madini east africa,mwanza ndo ina watu wengi baada ya Dar,Nairobi na kampala,Ndo kituo kikuu cha biashara baada ya Dar,kampala na Nairobi,Mwanza ndo jiji pekee lenye kiwanda cha kutengeneza Meli na vivuko east africa.Ila kumbuka watu hawakimbilii kwenye njaa watu uenda kunako neema.Wingi wa watu mwanza kunaashiria neema.Kisumu siazi yake ni Arusha city.
Kwahiyo kwa akili yako Kisumu ina tourism na conference facilities za Arusha? Hata Mwanza haina! Wacha kuropoka!
 
Sasa mbona who n who in tourism wana-spend Arusha? Aside NSSF hotel that not completed no 5 star facility exist in Mwanza! Do u know how many 5 hotels in Arusha city? At least 3 quality hotels operating!
Siku mwanza wakifikia hapa uniambie..
Arusha is far ahead of mwanza in almost everything and everyone knows that
Hata hapa mnawakosea wakisumu kujilinganisha na mwanza atleast kisumu vs arusha could make sense
Mwanza mji mmoja local sana
As a Tanzanian i say mwanza mnatuaibisha sana watu wakiskia ni mji wa pili
Just to make this clear mwanza ni mji wa pili kwa watu wengi but in terms of development iko nyuma sana sana actually it's one of the poorest places in Tanzania😎

Screenshot_20210421-101656.png

Screenshot_20210421-103812.png
 
Back
Top Bottom