Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Usipende kufanya kitu kinaitwa anticipation fanya siku moja uje Mwanza then ndo ufanye hiyo maelezo yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take your time and visit Kisumu too. Then you'll learn to take both the positive and negative reviews, sio unakubaliana na yale yanayokufurahisha na yasiyokufurahisha unayakaa hata kama ni kweli.Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbinu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophisticationNivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
kabla hauja linganisha mwanza na mombasa.. nakusihii utazame kwanza clip/video ya mombasa kwenye ukurasa 161Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbiu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophistication
kabla hauja linganisha mwanza na mombasa.. nakusihii utazame kwanza clip/video ya mombasa kwenye ukurasa 161
Tatizo lenu ndugu zangu wakenya mnapenda kujifariji na kujimwambafy kwamba kila kitu kiko Kenya.Ila ukweli ni kwamba wakenya mnaaminishwa ujinga.Kuhusu Mwanza waulizeni waganda,warundi,wakongo,wanyarwanda na wasudani kusini watakwambia.Kumbuka mwanza ndo kituo cha madini east africa,mwanza ndo ina watu wengi baada ya Dar,Nairobi na kampala,Ndo kituo kikuu cha biashara baada ya Dar,kampala na Nairobi,Mwanza ndo jiji pekee lenye kiwanda cha kutengeneza Meli na vivuko east africa.Ila kumbuka watu hawakimbilii kwenye njaa watu uenda kunako neema.Wingi wa watu mwanza kunaashiria neema.Kisumu siazi yake ni Arusha city.pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbiu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophistication
kabla hauja linganisha mwanza na mombasa.. nakusihii utazame kwanza clip/video ya mombasa kwenye ukurasa 161
Mpambano wa majiji mawili ya kanda ya ziwa
Imejaa vinyesi na ombaomba na machokoraa kuliko Tanzania. Mkenya akienda Tanzania harudi kwao sawa na mhindi lakin Mtz akienda Kenya hakaangi.Miji ya Kenya ipo poa sana sijui Tanzania wapi tunakosea, dah!.
How conviniently you pick up pic of mombasa old town to depict the whole of mombasa, you want to fool Kenyans how kenyan cities look when we actually live in kenya.
that section is called 'Old Town' and was declared by UN-Unesco as a world heritage site, where old rich Portuguess and arabic architecture is well reserved and protected. its just a small section of the city
infact street families waliomo nairobi na mombasa ni waTz. wanawapa serikali jukumu ngumu kuwafurusha na kuwa depot back to tz kila uchao. nyie waTz mkishindwa kuenda africa kusini, wengi mwaona heri kuenda kenya. nende Gikomba market, pale utapata kabila zote za tz, na wako huku kihalali, no documentation whatsoeverImejaa vinyesi na ombaomba na machokoraa kuliko Tanzania. Mkenya akienda Tanzania harudi kwao sawa na mhindi lakin Mtz akienda Kenya hakaangi.
Kwahiyo kwa akili yako Kisumu ina tourism na conference facilities za Arusha? Hata Mwanza haina! Wacha kuropoka!Tatizo lenu ndugu zangu wakenya mnapenda kujifariji na kujimwambafy kwamba kila kitu kiko Kenya.Ila ukweli ni kwamba wakenya mnaaminishwa ujinga.Kuhusu Mwanza waulizeni waganda,warundi,wakongo,wanyarwanda na wasudani kusini watakwambia.Kumbuka mwanza ndo kituo cha madini east africa,mwanza ndo ina watu wengi baada ya Dar,Nairobi na kampala,Ndo kituo kikuu cha biashara baada ya Dar,kampala na Nairobi,Mwanza ndo jiji pekee lenye kiwanda cha kutengeneza Meli na vivuko east africa.Ila kumbuka watu hawakimbilii kwenye njaa watu uenda kunako neema.Wingi wa watu mwanza kunaashiria neema.Kisumu siazi yake ni Arusha city.
Siku mwanza wakifikia hapa uniambie..Sasa mbona who n who in tourism wana-spend Arusha? Aside NSSF hotel that not completed no 5 star facility exist in Mwanza! Do u know how many 5 hotels in Arusha city? At least 3 quality hotels operating!