Kisumu vs Mwanza

kisumu outperform mwanza by far.. even our 5th city eldoret is a big feat for mwanza.. here👇 sample eldoret in briefour 2nd city mombasa👆 is well represented.. where is your 2nd city mwanza!!🤔🤔??😅😅😅😅😅😅.. sorry, 👇👇back to eldoret

👇rupa mall eldywachaneni na kenya tafadhali.. hamuwezani..
 
Rock city sio ya kulinganisha viji vinavyotumia baiskeli kama usafiri wa umma.Mwanza ni habari nyingine hiyo Eldoret haifiki hata nusu ya Arusha labala kidogo Kisumu na Arusha city.





 
Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
 
Mwanza kupita Mombasa basi hiyo itamaanisha kuwa ishapita Dar juu Mombasa is better than Dar. Mwanza enyewe hata haina paved roads in her CBD, haina sidewalk, haina stadium ya kulinganisha na ya Kisumu, haina airport ya maana, ni chafu, iko na GDP ndogo kuliko Kisumu despite have huge number, Kisumu Port perfoms better than Mwanza Port, Mwanza haina maakazi ya maana, retail sector ya Mwanza is imature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…