Kisumu vs Mwanza

Tanzanians should see how a city should look like, see how Kisumu is well planned, see how the roads are clearly marked.

View attachment 1758750
Miji ya Tzn ni trush Sana basi tuu watu hawana mishipa ya aibu kuweka vipicha na video za huo uchafu.

Cha ajabu si serikali wala wananchi wanaoona kwamba kuishi kwenye miji iloyopangwa vizuri ni kitu muhimu.

Hiyo ni ishara ya watu wajinga ,wasioelimika na ambao ustaarabu sio ishu kwao
 
Kuna uzi wao kule kwenye jukwaa la hoja binafsi hao wala michembe wa Mwanza wamekimbia

Hata humu jukwaani Mji pekee nje ya Dar ambao angalau unaweza linganisha na miji ya Kenya ni Arusha,

Ni vile tuu Tzn ishu ya mipango miji inadharirisha Sana miji na maviongozi ya ccm hata hayaoni kwamba ni muhimu
 
Viwanda vyenyewe ni vya kuhesabu,madini gani wakati masoko ya Madini yamejengwa kwenye yanachimbwa na transactions zinafanyika huko huko kama Grits,Kahama nk ?

Hako kakiwanda cha kusafisha madini hata hakajaanza maana hata Dom kimejengwa.

Hiyo Mwanza viwanda ni vya kuhesabu ,ukitoa Dar,Pwani unafuata Arusha na Tanga kwa viwanda ndio vinafuata hivyo Vijijini vyenu maskini
 
Achana na mshamba huyo,mwambie Transformers za umeme Tanesco wananunua Tanalec ya Arusha just mfano.Juzi tuu hapo Bajuta international wameanza kujenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha viwatilifu vya aina mbalimbali kwa soko la EAC

Sekta ya kilimo Tzn hapa kuanzia mbegu nk inategemea viwanda vya Arusha na hii ni kwa sababu Arusha iko jirani na Kenya na Nairobi ko transfer ya technology ni rahisi zaidi
 
kwa Mweanza pitia hapa ! Hivyo viwanda vya soft drinks Arusha ni vp hebu vitaje!

Tax revenue ya Mwanza ipo chini kwa vile revenue ya dhahabu inaenda serikali kuu moja kwa moja!
Wapi ambako revenue haziendi Serikalini? Kama ndio hivyo kea nini sasa ujivunie sekta ambazo haziwasaidii watu wenu kuepukana na umaskini?
 
Soft drinks ni pamoja na maji,TBL mbona viwanda vya maji nk vya soft drinks vipo?

Tufanye havipo vipi Kuhusu logistics industry nyuma ya Dar ,Mkoa gani una kampuni nyingi za hiyo industry?
 
peleka upumbavu nimekuuliza viwanda vya soft drinks mbona hutaji?


Vya

Mwanza
Huyo jamaa huwa ni mse*ge sana wala usibishane nae mkuu ni chuki na wivu dhidi ya Mwanza nashangaa sana wanavyojilinganisha na Mwanza, Arusha bado tena bado sanaaaaa kwa Mwanza, alafu huu huzi ni kisumu vs Mwanza nashangaa hili shangingi linaleta mku#du.
 
Ni pale anapofananisha uchumi wa Mwanza wa mining, industries, lake port services, fishing na Arusha ya tourism na industries chache!
 
kimoja kwa over 4 soft drinks in Mwanza ukijumlisha ni zaidi ya tano Mwanza!
Hata vingekuwa mia lakini haiondoi ukweli kwamba Arusha ina viwanda vingi kuliko Mwanza na kama mnataka lists mseme, kwani kuwa na soft drinks factories nyingi ndio nini labda? Na wengine Wana viwanda aina nyingine maana sio lazima kuigana
 
Hivi mwanza nzima kuna kiwanda kina wafanyakazi hata 5000???
Poor City for poor people that's simply how we can define mwanzau
Utakuwa na mtindio wa ubongo ww.Mnavamia huzi usiowahusu haya mambo mngepeleka kwenye huzi wa Mwanza vs Arusha pili nimewaona hamna mzalendo pili mmejaa chuki sana wewe pamoja na bwege mwenzio anayejiita opportunity cost.MTAPATA TABU SANA NA CHUKI ZENU.
 
Ni pale anapofananisha uchumi wa Mwanza wa mining, industries, lake port services, fishing na Arusha ya tourism na industries chache!
Mr Geza ulole achana na vichaa wa milembe hao, tupia mavitu na ongoing project za Mwanza tuzidi kujua kinachoendelea kwenye jiji zuri na tamu la MWANZA.
 
🤣🤣🤣
Tupate tabu Na huo mji maskini afrika ambao hata mall mnajengewa Na serikali
Bongo lalaz Kazi kuzaliana tu kama nyumbu😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…