Kisumu vs Mwanza

Mr Geza ulole achana na vichaa wa milembe hao, tupia mavitu na ongoing project za Mwanza tuzidi kujua kinachoendelea kwenye jiji zuri na tamu la MWANZA.
Project za mwendazake ambazo hazijawah kuwa na faida
Real investment inapimwa Kwa maendeleo ya private sector
Private sectors hawawezi kuwekeza kwenye hasara
Ndo maana hamna serious investment inaweza fanywa mwanza labda wawajengee wanyonge kiwanda cha sayona za jero jero hizo ndo mnaweza kununua nyie
 
Hehehe, btw, Arusha looks better than Mwanza. Other than area and population, I don't see anything else that Mwanza beats Kisumu.
 
We umeona Hilo
Kama Jana nilikua pale sanawari mjini kabisa naona traffic lights lakini naambiwa nipo arumeru
Sensa ya 2012 Arusha ilikua Na population ya 400k Na Zaidi kwenye eneo la 93kmsq tu Na population density ilikua inakimbizia ile ya baadhi ya manispaa za dar Na ndio maana ukiwa Arusha unapata ile vibe ya town hasa Mwanza ilikua Na 700k kwenye eneo la 422kmsq Sasa unaweza kuona tu maeneo mengi Sana kama kisongo tengeru USA mianzini sanawari hata mushono hayakuhesabiwa bt still tukawa mji wa 3
2014 walianza kuchora masterplans za arusha Na Mwanza kuja kugundua Arusha imetanuka Sana nje ya proper city boundaries kwahiyo eneo la mjini la arusha ni 608kmsq while mwanza ni 422kmsq ile ile
Sisi ni wazalendo hasa ila mwanza haina misuli ya kushindana Na Kisumu hata kidogo tumeamua kuja huku ili tuokoe jahazi😃 atleast arusha and Kisumu could make sense
ONLY GREAT THINKERS WOULD UNDERSTAND THIS
 
COMPARISON BETWEEN TANZANIAN AND KENYAN CITIES
KENYA------------------------TANZANIA
NAIROBI----------------------DAR
MOMBASA-------------------NIL
KISUMU------------------------ARUSHA
NAKURU-----------------------NIL
ELDORET----------------------MWANZA(EXCLD POPULATION)
Kawaida ukiongea ukweli unaonekana si mzalendo
Wakenya wametuacha sana in terms of development
Leo sisi tunazindua flyover ya kwanza dar Kisumu ilikuwepo tangu 2010🤣
My fellow Tanzanians kuwa wakweli haitufanyi tuwe inferior
Budget ya Kenya pekee hata ukichanganya Na nchi zote za eac zilizobaki hatuwafikii Sasa miji yetu tunawafikiaje??
Tukubali tujenge miji yetu bado tunasafari ndefu Sana miji mingi tunashindana nao kwa population tu lakini development, planning hata investment wametuacha mbali Sana labda kama hujawah tembea
NB: Mwanza msinichukie nimewafananisha Na Eldoret kutoa population nilitaka nifananishe na Kisii au Thika ila nikaona ndugu zangu mtanipiga mawe🤣
 
Sasa unataka ulie?
 
Hii information ya city proper vs built up area nimekuwa nilijaribu kuwaelimisha wabongo tangu niingie humu ila hawaelewi. Labda wewe Mtanzania mwenzao unaweza waelimisha maana wao hudai nairobi ni kanji kadogo kwa kuwa area ya city proper ni 696Sq. km. Ukiwaeleza total built up area ya Nairobi metro ndio the largest East Africa hawaelewi.
 
Naelewa Sana mkuu
Nairobi metro pop ni around 9 million
Largest in East Africa
Kitengela iko nje ya mji Lakin ina majengo mengi Zaidi ya Mwanza😂
Dar ina pop ya 6 million ila area ni 1500sqkm ila Kwa city proper area dar ni 600+sqkm yenye population ya around 3 to 4 million people only
Kuna mtani wangu wa Mwanza hapa aliniambia Wana 7000+sqkm🤣🤣 just forgive them abeg
 
🤣🤣🤣
Tupate tabu Na huo mji maskini afrika ambao hata mall mnajengewa Na serikali
Bongo lalaz Kazi kuzaliana tu kama nyumbu😎
Serikali haikuweka ata mia pale rock city mall imejengwa na jiji kushirikia na mfuko wa lapf kuwa na akili basi.
 
Wewe si ndio walewale wakina tundulisu mkiona mmebanwa mnahamishaq magolii mnaanzaa eti metro metro ili kuifanya Nairobi ionekane kubwaaa
 

Kitombile Hadi Leo hajuwagi kuwa halmashauri ni serikali Na lapf ni shirika la serikali maskini kitombile 😥
Mlimani city mall imejengwa na mtu binafsi?
 
Wewe si ndio walewale wakina tundulisu mkiona mmebanwa mnahamishaq magolii mnaanzaa eti metro metro ili kuifanya Nairobi ionekane kubwaaa
Nyie ndo wali mliokua mnamuabudu meko mkajua kusifia tu Sasa Kwa taarifa yako tuko uchumi wa chini wa kati Na Wala sio uchumi wa kati kama mnavokaririshwa🤣

 
Mmkazania mipango miji mipango miji mnasahau kwamba Kenya viwanja ni bei ghalii mwananchi wa kawaida hawez kumiliki kiwanja Nairobi wakati dar ukiwa na milioni yako (50k) unaibuka chanika unajichakulia kiwanja chako unaanza kujenga alafu kuna jitu hapa linabwabwaja eti wakenya wametuzidi kwa mipango miji kwa au kwasababu umeona mi estate kibao ndio ukaona wametuzidi hapa bongo izo estate ukizijenga atakaa nani
 
Mna hela ya kukaa kwenye hizo estate wabongo Na kama umesahau price ya kitu inapanda kutokana Na scarcity wenye hela ni wachache bongo ndo maana unapata ardhi kizembe zembe🤣
Usisahau Nairobi ni moja ya miji inayoongoza Kwa matajiri wengi Afrika
GDP ya Nairobi pekee inakaribiana Na ya Tz yote hii ni kama unajua hata GDP maana yake nn
 
Mlimani city mall imejengwa na mtu binafsi?
Huyu zwazwa mwingine Tena Kwa hiyo unadhan mliman city ni ya umma kisa ipo karibu Na chuo cha mliman😂
Haya Sasa nmekuletea wamiliki wake kwa vile mvivu wa kufikiri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…