Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Eehh yamekuzidi mpaka umehamua kurudi kwenuu Eehh sio unatetea Mininchi ya watu based on opinions only utaaumbuka wenye nchi wenyewe wamekaa kimyaa kwa sababu wanajua utopolo wao uko , alfa wewe unakuja kutetea hapa eti wanaishi maishaa mazur kutuzidi kwa lipi wakati wanashindia makande siku nzima, wakati uku bongo kuna mikoa ukiienda bei ya vyakula kama mchele ipo chini kuzidi ya unga mfano sumbawanga na mbeya njombee alfu uje unilinganishe na mtu anashindia kande nitakuelewaje
Leta data kwamba watz wanamaisha mazuri zaidi ya wakenya wakati hata namanga hujafika sio unabwabwaja hapa
 
🤣🤣🤣Unachojua ni Kibera tu
Na hii ni kutokana Na sehemu zenye slums zote zimewekwa pamoja sio Kwa patches kama dar
ustake niongelee kuhusu tandika, tandale Kwa mtogole, manzese, vingunguti buguruni yani Hadi nachoka kuandika
Mathare
 
Kayole, dandora
 
Eehh yamekuzidi mpaka umehamua kurudi kwenuu Eehh sio unatetea Mininchi ya watu based on opinions only utaaumbuka wenye nchi wenyewe wamekaa kimyaa kwa sababu wanajua utopolo wao uko , alfa wewe unakuja kutetea hapa eti wanaishi maishaa mazur kutuzidi kwa lipi wakati wanashindia makande siku nzima, wakati uku bongo kuna mikoa ukiienda bei ya vyakula kama mchele ipo chini kuzidi ya unga mfano sumbawanga na mbeya njombee alfu uje unilinganishe na mtu anashindia kande nitakuelewaje
Unataka nikukumbushe kuwa 50% of Tanzanians live in extreme poverty?
 
Leta data kwamba watz wanamaisha mazuri zaidi ya wakenya wakati hata namanga hujafika sio unabwabwaja hapa
Wewe boya mm nmefika Hadi kitale, kapsaret eldoret iten baringo kote uko nishapitaa na nmekaa
 
COMPARISON BETWEEN TANZANIAN AND KENYAN CITIES
KENYA------------------------TANZANIA
NAIROBI----------------------DAR
MOMBASA-------------------NIL
KISUMU------------------------ARUSHA
NAKURU-----------------------NIL
ELDORET----------------------MWANZA(EXCLD POPULATION)
Kawaida ukiongea ukweli unaonekana si mzalendo
Wakenya wametuacha sana in terms of development
Leo sisi tunazindua flyover ya kwanza dar Kisumu ilikuwepo tangu 2010🤣
My fellow Tanzanians kuwa wakweli haitufanyi tuwe inferior
Budget ya Kenya pekee hata ukichanganya Na nchi zote za eac zilizobaki hatuwafikii Sasa miji yetu tunawafikiaje??
Tukubali tujenge miji yetu bado tunasafari ndefu Sana miji mingi tunashindana nao kwa population tu lakini development, planning hata investment wametuacha mbali Sana labda kama hujawah tembea
NB: Mwanza msinichukie nimewafananisha Na Eldoret kutoa population nilitaka nifananishe na Kisii au Thika ila nikaona ndugu zangu mtanipiga mawe🤣
Wewe Kijana mbona unaangaika sana na Mwanza??Kwanza unataikiwa kukubali kwamba mwanza ndo jiji la pili katika historia ya Tanzania na wanaoangalia vigezo sio wenda wazimu.Kitu kingine wanza ndo jiji linafata baada ya Dar,nairobi,kampala na mombasa east africa.Usipende kupigia kelele njoo mwanza uoshe macho.
 
Wewe Kijana mbona unaangaika sana na Mwanza??Kwanza unataikiwa kukubali kwamba mwanza ndo jiji la pili katika historia ya Tanzania na wanapaangalia vigezo sio wenda wazimu.Kitu kingine wanza ndo jiji linafata baada ya Dar,nairobi,kampala na mombasa east africa.Usipende kupigia kelele njoo mwanza uoshe macho.
Mwanza ni size ya Kisii we acha zako. East African cities is like below
Nairobi
Addis Ababa
Dar
Mombasa
Kampala
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Mwanza
 
Mwanza ni size ya Kisii we acha zako. East African cities is like below
Nairobi
Addis Ababa
Dar
Mombasa
Kampala
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Mwanza
Pumba aliyoongea sikutaka hata kuijibu🤣🤣ndio wale wanakaaga vijiweni wanasema Mwanza ina watu million 4
 
Twende kwenye ground wakenya wanaishi maisha mazuri kutuzidi sisi yapi hayo wakati watu uko turkana kila mwakaa zaidi ya milioni moja wanapelekewa misaada ya chakula
kwanza size ya uchumi ya kenya ni $109B (3rd in sub-sahara africa), na tz ni $60B. hiyo ni karibu mara mbili.. tena ikizingatiwa kuwa idadi ya kenya ni 47M na tz ni 56M, GDP per capita ya kenya ni $2,300 na tz ni $1,176.. (tu mumeingia uchumi wa kati juzi, ikakua bonge la sherehe tz). HDI ya kenya ni 0.61(medium) na tz 0.52(low) so iweje hasa waTz wanazidi wa kenya kwa kiwango cha maisha (lifestyle). chief, hio itakua ni ndoto
 
With debt to GDP ratio of 95% suppose we deduct debt, u remain with 5% of that $106 bln for Kenya! Now deduct 30% of $65 bln for Tanzania to see who is the king in the region!
 
Data ni statistics unazohitaji kufanya research ili upate conclusion lazima uwe Na data ya watu wangapi ulionao Na wangapi wako chini ya poverty line Kwa data tulizonazo tz mnaongoza Kwa maskini wengi😎Sasa wewe unaniletea magazeti
Alafu usisahau Kenya ni nchi ya kidemokrasia Na uhuru wa habari ulivoona hapo 1.4 million people wamepewa chakula usidhan bongo watu wote Wana Maisha mazuri
Unajua watu wangapi bongo hawana uhakika wa Kula mara tatu tuanzia Kwa hapa dar usiongelee mikoani
Huku hamna uhuru wa habari upate taarifa kama hizo au ulisahau mwendazake alisema mkuu wa mkoa atakayesema mkoa wake una njaa Kazi hana unafkiri bongo watu hawana njaa ni taarifa zinafichwa tu mzee
We endelea kuandika makolokolo kibao ila hutuambi kitu kama bado watu karibia milioni 2 wanaukosefu wa chakula kwq afrika mashariki nyinyi ndio mnaongoza kupokea misaada ya chakula
 
Back
Top Bottom