Kisumu vs Mwanza

Leta data kwamba watz wanamaisha mazuri zaidi ya wakenya wakati hata namanga hujafika sio unabwabwaja hapa
 
🤣🤣🤣Unachojua ni Kibera tu
Na hii ni kutokana Na sehemu zenye slums zote zimewekwa pamoja sio Kwa patches kama dar
ustake niongelee kuhusu tandika, tandale Kwa mtogole, manzese, vingunguti buguruni yani Hadi nachoka kuandika
Mathare
 
🤣🤣🤣Unachojua ni Kibera tu
Na hii ni kutokana Na sehemu zenye slums zote zimewekwa pamoja sio Kwa patches kama dar
ustake niongelee kuhusu tandika, tandale Kwa mtogole, manzese, vingunguti buguruni yani Hadi nachoka kuandika
Kayole, dandora
 
Unataka nikukumbushe kuwa 50% of Tanzanians live in extreme poverty?
 
Leta data kwamba watz wanamaisha mazuri zaidi ya wakenya wakati hata namanga hujafika sio unabwabwaja hapa
Wewe boya mm nmefika Hadi kitale, kapsaret eldoret iten baringo kote uko nishapitaa na nmekaa
 
Wewe Kijana mbona unaangaika sana na Mwanza??Kwanza unataikiwa kukubali kwamba mwanza ndo jiji la pili katika historia ya Tanzania na wanaoangalia vigezo sio wenda wazimu.Kitu kingine wanza ndo jiji linafata baada ya Dar,nairobi,kampala na mombasa east africa.Usipende kupigia kelele njoo mwanza uoshe macho.
 
Mwanza ni size ya Kisii we acha zako. East African cities is like below
Nairobi
Addis Ababa
Dar
Mombasa
Kampala
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Mwanza
 
Mwanza ni size ya Kisii we acha zako. East African cities is like below
Nairobi
Addis Ababa
Dar
Mombasa
Kampala
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Mwanza
Pumba aliyoongea sikutaka hata kuijibu🤣🤣ndio wale wanakaaga vijiweni wanasema Mwanza ina watu million 4
 
Twende kwenye ground wakenya wanaishi maisha mazuri kutuzidi sisi yapi hayo wakati watu uko turkana kila mwakaa zaidi ya milioni moja wanapelekewa misaada ya chakula
kwanza size ya uchumi ya kenya ni $109B (3rd in sub-sahara africa), na tz ni $60B. hiyo ni karibu mara mbili.. tena ikizingatiwa kuwa idadi ya kenya ni 47M na tz ni 56M, GDP per capita ya kenya ni $2,300 na tz ni $1,176.. (tu mumeingia uchumi wa kati juzi, ikakua bonge la sherehe tz). HDI ya kenya ni 0.61(medium) na tz 0.52(low) so iweje hasa waTz wanazidi wa kenya kwa kiwango cha maisha (lifestyle). chief, hio itakua ni ndoto
 
With debt to GDP ratio of 95% suppose we deduct debt, u remain with 5% of that $106 bln for Kenya! Now deduct 30% of $65 bln for Tanzania to see who is the king in the region!
 
We endelea kuandika makolokolo kibao ila hutuambi kitu kama bado watu karibia milioni 2 wanaukosefu wa chakula kwq afrika mashariki nyinyi ndio mnaongoza kupokea misaada ya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…