Kisumu vs Mwanza

🤣🤣
Kidogo kidogo wanashindana Na Mombasa
Baadae watasema Mwanza Kuna stendi hata London hamna
Hawa ndugu zangu akili zao zinawatosha wao tu😥
Hawa ndugu zako walileta ligi ya The great Mwanza city vs kisumu, sasa wameona kisumu kwa Mwanza ni kama kakijiji fulani hivi sasa wanataka collaboration yaan waungane na Mombasa vs Mwanza kwa kweli hili jiji linawapa tabu sana.
 
Hawa jamaa bado wanaamini Tanzania ni ile ya mkoloni.Wanapost vitaraja ambavyo hata havijajengwa wakati Mwanza ina daraja refu kuliko yote afrika mashariki na kati ambalo linaendelea kujengwa kwa kasi na wala hatujaripost hapa😂😂😂tukiamua tutawatoa upepo.
 
Hawa ndugu zako walileta ligi ya The great Mwanza city vs kisumu, sasa wameona kisumu kwa Mwanza ni kama kakijiji fulani hivi sasa wanataka collaboration yaan waungane na Mombasa vs Mwanza kwa kweli hili jiji linawapa tabu sana.
aje hasa.. ona, mwanza ni ya pili.. mombasa ni ya pili.. tucheze tu basi kwenye hiyo ligi.. mtajua hamjui aisee..
 
Siku hizi radio na TV ziko Hadi Namanyere Nkasi Tandahimba huko ko sio big deal na hicho kitv chenu cha maccm huwa hatuangalii
 
wao wa tz wanaona ni kama nchi yao ndio iliyoendelea zaidi kuliko nchi yoyote africa!. wao wanaeza kuisifia ukadhani ughaibuni, na kwa hakika hakuna cha ajabu, paakawaida sana. wacha bado wazidi kuota ndoto, sijui nani aliwapumbaza hawa watu
Sio Watzn sema wapumbavu wa ccm ndio wazee wa propaganda na wanawafaidi mazwazwa mengi huku Bongo ambao hawana exposure wala pesa ya kusafiri popote.
 
hivi vitu havija jengwa bado.. kiburi niya nini msela.. mombasani tulikwisha yajenga kitambo... tukienda nairobaa sijui tuaanzia wapi sijui tutamalizia wapi?!!.. kwa sahii tuwachie tu hapo..
Hapo kitu gani haijajengwa??Wewe tulia sindano ikuingie na hiyo Mombasa old town😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…