Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Dpresident kuna ghorofa refu sana hapo mtaa wa uhuru jijini mwanza linajengwa nazan kwasasa limefika si chini ya 12 floor hivi ni la nani?

Sijafahamu ni lanani ila nitajaribu kufatilia.
 
Kitu najaribu kukuambia ni kuwa Mwanza haiezi hata fika level ya Kisii Town.

😂😂😂brother ikiendelea kuangaika na Mwanza utaumia mambo niliyopost hapa ni manispaa moja tu ya Nyamagana,nikiamua kufanya fujo kwa Kuiongeza ilemela manispaa utapoteana nao wakenya wenzio😂😂😂
 
Kusoma ndio hujui ama? Mwanza ni level ya Kisii. Actually it's slightly below Kisii.
 
Dpresident, Kitombile na baadhi ya hawa wabongo wengine wanafik watajua hawajui.....
Nyie ndio wanafiki sisi tunawaambia ukwel kuwa Mwanza city na ndio kitovu cha biashara cha maziwa makuu.
 
Maneno ya mheshimiwa spika Kwa wakazi wa mkoa maskini afrika 😥

Acheni kuweka masufuria🤣🤣
 
Back
Top Bottom