Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kutuchosha vipicha na vigorofa ni vilevile kila siku mnachofanya ni kupiga vipicha ucku na mchana basi.Kitu kingine hivi kisumu ina mtaa mmoja tu.Kwa maana sioni residential houses,bus terminals,dala dala stands,masoko,viwanda area,city garden,hospital fecilities,beaches nzuri,bridges,best mosques,best churches, International schools & universitis,appartments.Sasa nyie mmekomalia kaflyover hakohako kila siku.Njooni Mwanza,Arusha na Dar mjifunze sio kuwa wabishi bila sababu.
Tunawahurumia tu, 😂😂 mmekosa jibu., ikija roads or residential ndio mnakua ovyo zaidi, afadhali mmbaki kwa CBD tu., msitoke nje ni aibu kiukweli.,Acheni kutuchosha vipicha na vigorofa ni vilevile kila siku mnachofanya ni kupiga vipicha ucku na mchana basi.Kitu kingine hivi kisumu ina mtaa mmoja tu.Kwa maana sioni residential houses,bus terminals,dala dala stands,masoko,viwanda area,city garden,hospital fecilities,beaches nzuri,bridges,best mosques,best churches, International schools & universitis,appartments.Sasa nyie mmekomalia kaflyover hakohako kila siku.Njooni Mwanza,Arusha na Dar mjifunze sio kuwa wabishi bila sababu.
Why cherry picking ngoja tukusaidie kidogoMore of Kisumu City [emoji91]
Market
View attachment 1804948
Residential, a section of Migosi estate.,
View attachment 1804947
View attachment 1804944
View attachment 1804945
View attachment 1804946
View attachment 1804949View attachment 1804950
Hapo sawa ukimwambia mtu residential settlements anatuletea mara estates mara appartments utadhani wakenya wote ni afisa magereza au posta au reli au utadhani ni wahindi wanaishi kwenye magorofa ya national housing (NHC).Kumbe ni umasikini unawasumbua hawawezi kujenga nyumba zao bila msaada wa serikali tofauti na hapo ni wanaishi kwenye maslums ya mabati kule kibera na kisumu kama unavyoona hapo.Narudia tena waje ARUSHA,MWANZA NA Dar wajifunze watu wanavyoishi sio kuishi kama kuku kwenye mabanda ya mabati.😂😂😂😂Why cherry picking ngoja tukusaidie kidogo View attachment 1805022View attachment 1805023
Next...Why cherry picking ngoja tukusaidie kidogo View attachment 1805022View attachment 1805023
Unaumwa kweli,. hadithi za vijiweni weka pembeni., Mwaga za Mwanza wacha hekaya za abunuasi.,😝😝😜😂😂😂., Tanzania tunaijua vizuri, na hali yenyu ya uchochole iko wazi tu😂😂., ikija standard housing mko ovyo, sasa unadhani hizi za Kisumu ni za employed, kwa vile kwenyu wenye mshahara ndio wanaishi kwa standard housing nyie wengine ni vibaraka, hawkers, wanabiashara wa hand to mouth, na wajakazi wa walio andikwa(employed) mjini, nyumba zenu kwa wingi ni zile za kishamba., uwezo wa kibinafsi ni hafifu, uchumi mdogo watu wengi nchi kubwa unatarajia nini?😂😂😂😝., low standards kote kote., Wacha kutazama Kenya kupitia kioo cha umasikini wa kitanzania kaka😝😂😂😂😂., we are not the same. Remove those lenses, zinakupa erroneous perspective ya Kenya😂😂😂 hatufanani licha ya mapungufu yetu.,😂Hapo sawa ukimwambia mtu residential settlements anatuletea mara estate mara appartment utadhani wakenya wote ni afisa magereza au posta au reli au utadhani ni wahindi wanaishi kwenye magorofa ya national housing (NHC).Kumbe ni umasikini unawasumbua hawawezi kujenga nyumba zao bila msaada wa serikali tofauti na hapo ni wanishi kwenye maslum ya mabati kule kibera na kisumu kama unavyoona hapo.Narudia tena waje ARUSHA,MWANZA NA Dar wajufunze watu wanavyoishi sio kuishi kama kuku kwenye mabanda ya mabati.😂😂😂😂
Unataka nyingine nikuletee za Nyalenda?Next...
Zote zote, good and bad!., ukipenda, najua mnapenda kutafuta matako ya Kenya ili kujifariji ama mpate pa kupumulia, nakupa ruhusa kaka., Kisha ukimaliza tandaza na za Mwanza., kote kote pia., facts ni mambo yote humu.,Unataka nyingine nikuletee za Nyalenda?
Kisumu yako hiyoZote zote, good and bad!., ukipenda, najua mnapenda kutafuta matako ya Kenya ili kujifariji ama mpate pa kupumulia, nakupa ruhusa kaka., Kisha ukimaliza tandaza na za Mwanza., kote kote pia., facts ni mambo yote humu.,
Mmekosa jibu kabisa kutoka Mwanza eti 😂 😂 😂 Nime jibu post zenu na Kisumu CBD, beaches, residentials, road network lakini mmeshindwa kujibu, sasa mmekimbilia matako ya kenya ili kujaribu kuikomboa Mwanza kutokana na kichapo cha mbwa, wacha nikuonyeshe na wewe vile Mwanza ni mji wa uchochole Tanzania yote, afadhali Arusha iwe second City lakini sio Mwanza, bingwa wa umasikini..,
😂😂😂😂Kumbe wewe una matatizo ya medula oblangata sio bure,Nimegundua wakenya hawajielewi kweli hili limjamaa linazungumzia makazi bora Kenya kuizidi Tanzania sijui halitambui au kuelewa maana ya slums wakati wakenya wanajiita wazungu wa afrika.??Ngoja nilisahidie slums are poorest settlements characterize poverty and have lowest standard of living Conditions.NOTE:- Kenya has largest slums in Africa eg Kibera with population of 700,000 and Mathare 500,000 as shown on the attachment below.Sasa wewe mkenya ujasili wa kuisema Tanzania unatoka wapi??Kwa taarifa yako Mwanza ni jiji la pili la kibiashara after Dar kila unachokiona ni mali za wafanyabiashara kama unataka nyumba za wafanyakazi wa serikali nenda Dodoma utaziona.Kiukweli hii kisumu mnayotusumbua nayo sawa na iringa ndo maana huwezi ona tunaendelea kupost picha picha ni kupoteza muda.Kitu kingine nilikuuliza hivi huko kisumu hakuna hospital ficities,hakuna industrial area,hakuna bus terminals,hakuna dala dala stands,hakuna masoko,hakuna beaches za kuvutia,resting city garden,hakuna international schools,hakuna international universities,Hakuna bridges facities au ndo kusema kisumu ni kaflyover tosha??Unaumwa kweli,. hadithi za vijiweni weka pembeni., Mwaga za Mwanza wacha hekaya za abunuasi.,😝😝😜😂😂😂., Tanzania tunaijua vizuri, na hali yenyu ya uchochole iko wazi tu😂😂., ikija standard housing mko ovyo, sasa unadhani hizi za Kisumu ni za employed, kwa vile kwenyu wenye mshahara ndio wanaishi kwa standard housing nyie wengine ni vibaraka, hawkers, wanabiashara wa hand to mouth, na wajakazi wa walio andikwa(employed) mjini, nyumba zenu kwa wingi ni zile za kishamba., uwezo wa kibinafsi ni hafifu, uchumi mdogo watu wengi nchi kubwa unatarajia nini?😂😂😂😝., low standards kote kote., Wacha kutazama Kenya kupitia kioo cha umasikini wa kitanzania kaka😝😂😂😂😂., we are not the same. Remove those lenses, zinakupa erroneous perspective ya Kenya😂😂😂 hatufanani licha ya mapungufu yetu.,😂
Nami nimejiuliza ina maana wakenya hawana huwezo wa kujenga nyumba zao wenyewe adi wajengewe na serikali yao kweli hawa jamaa ni masikini sana!Hapo sawa ukimwambia mtu residential settlements anatuletea mara estates mara appartments utadhani wakenya wote ni afisa magereza au posta au reli au utadhani ni wahindi wanaishi kwenye magorofa ya national housing (NHC).Kumbe ni umasikini unawasumbua hawawezi kujenga nyumba zao bila msaada wa serikali tofauti na hapo ni wanaishi kwenye maslums ya mabati kule kibera na kisumu kama unavyoona hapo.Narudia tena waje ARUSHA,MWANZA NA Dar wajifunze watu wanavyoishi sio kuishi kama kuku kwenye mabanda ya mabati.😂😂😂😂
nionyeshe nyumba za serikali in Kisumu pekee, especially zile nilipost tuone? 😂 😂 😂 😂 hakuna ata moja utapata! Kenya ni nchi ya kibepari na sio ya ujamaa ambayo serikali inamiliki kila kitu kama kule kwenyu kwa ufukara.,Nami nimejiuliza ina maana wakenya hawana huwezo wa kujenga nyumba zao wenyewe adi wajengewe na serikali yao kweli hawa jamaa ni masikini sana!
Sasa kumbe wewe ni kilaza, semi illiterate kama kaka yako ichoboy01 kule Nairobi vs Dar😂😂😂., Mnaishi kwa propaganda mnatamani tuwe level yenyu lakini wapi, sasa wewe unajua Kibera ni 700,000 to 1million according to your inability ya kukagua facts from fiction 😂😂., National census ya 2019 Kenya bureau of statistics walipata around 200,000., Pia utafiti mwafaka huu hapa ukipata tofauti na matarajio yenyu, yaani mnatamani Kenya iangamie ama iwe below you kakini wapi., tuko na mapungufu but we are not same as u;😂😂😂😂Kumbe wewe una matatizo ya medula oblangata sio bure,Nimegundua wakenya hawajielewi kweli hili limjamaa linazungumzia makazi bora Kenya kuizidi Tanzania sijui halitambui au kuelewa maana ya slums wakati wakenya wanajiita wazungu wa afrika.??Ngoja nilisahidie slums are poorest settlements characterize poverty and have lowest standard of living Conditions.NOTE:- Kenya has largest slums in Africa eg Kibera with population of 700,000 and Mathare 500,000 as shown on the attachment below.Sasa wewe mkenya ujasili wa kuisema Tanzania unatoka wapi??Kwa taarifa yako Mwanza ni jiji la pili la kibiashara after Dar kila unachokiona ni mali za wafanyabiashara kama unataka nyumba za wafanyakazi wa serikali nenda Dodoma utaziona.Kiukweli hii kisumu mnayotusumbua nayo sawa na iringa ndo maana huwezi ona tunaendelea kupost picha picha ni kupoteza muda.Kitu kingine nilikuuliza hivi huko kisumu hakuna hospital ficities,hakuna industrial area,hakuna bus terminals,hakuna dala dala stands,hakuna masoko,hakuna beaches za kuvutia,resting city garden,hakuna international schools,hakuna international universities,Hakuna bridges facities au ndo kusema kisumu ni kaflyover tosha??
Those are Cave men[emoji23][emoji23][emoji23]. Huwezi kuta Suburbs Mwanza. Alafu wanataka kujiweka na Kisumu. Are these people really normalMmekosa jibu kabisa kutoka Mwanza eti [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nime jibu post zenu na Kisumu CBD, beaches, residentials, road network lakini mmeshindwa kujibu, sasa mmekimbilia matako ya kenya ili kujaribu kuikomboa Mwanza kutokana na kichapo cha mbwa, wacha nikuonyeshe na wewe vile Mwanza ni mji wa uchochole Tanzania yote, afadhali Arusha iwe second City lakini sio Mwanza, bingwa wa umasikini..,
kila nchi iko na mapungufu yake., ata zilizo endelea kama SA, but yenyu imetapakaa kwa wingi kote kote, sio sehemu sehemu., kulikoni., aerial view or video clips hampendi., aibu tupu.,
next time stick kwa mada, jibu hoja kwa hoja, for now enjoy your Mwanza..,
View attachment 1805597
View attachment 1805598
View attachment 1805599
ROCK CITY KIUKWELI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1805600
View attachment 1805601
View attachment 1805602
View attachment 1805603
View attachment 1805604
View attachment 1805606
View attachment 1805607
Normal residentials, yani makazi ya standards za kawaida Mwanza
View attachment 1805608
View attachment 1805618
View attachment 1805619
Ona ujenzi ulivyo wa kienyeji sana for normal housing, sio slum, lower middle;
View attachment 1805625
Life at lake Victoria Mwanza..,
View attachment 1805623
60 to 70% low life residentials, kama tu Dar! Afadhali Arusha mara mia moja!
View attachment 1805610
View attachment 1805621
Hakuna proper residential estate in Mwanza.., zilete hapa kama zipo., na ni ngapi.., tuone against kisumu., najua kuna mazuri., iko kwa kiasi kipi?.., quantity ya standard housing in Mwanza vs Kisumu.., hapa najua pumzi utakosa.,,
Ndo maana tumeamua kukaa kimya kwasababu tumeishaona nyinyi ni hamnazo kumukichwa.Ukweli ni kwamba hizo picha zote hapo kwa mwanza ni mtaa mmoja wa bwiru au isamilo kama nimfuatiliaji rudi nyuma kuna clip ya video utaona mtaa wa bwiru au isamilo then ulinganishe na hio kisumu nzima😂😂😂Those are Cave men[emoji23][emoji23][emoji23]. Huwezi kuta Suburbs Mwanza. Alafu wanataka kujiweka na Kisumu. Are these people really normalView attachment 1806664View attachment 1806663View attachment 1806661View attachment 1806662View attachment 1806665View attachment 1806667View attachment 1806669