Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
SGR inaelekea Mwanza, pale Dodoma inapita tu, Arusha SGR sijui itakama inaishi midomoni mwa viongozi wetu. Kigoma inaongelewa kidogo kwa sababu kuna potential ya mizigo kutoka DRC na Burundi.[emoji23][emoji23][emoji23]Mnateseka bure watalaamu walishafanya yao ya kitaalamu wakasema Mwanza city a.ka Rock city is second largest and best city in Tanzania after Dar es salaam no less or more.[emoji23][emoji23]nashindwa kuelewa shida inatoka wapi.Kama ni gugu basi mmewazidi mama wa kambo au wake wenza.Na kama mnahitaji kuwa wa kwanza au pili jitangazeni kwani shida hiko wapi au Mwanza city au rock city inawazuhia nini??[emoji23][emoji23]
Nchi hii miji muhimu kibiashara na kiuchumi ni miwili tu Mwz na Dar ndio maana proposal ya kwanza ya ujenzi wa SGR ni ku link bandari ya DSM na MWZ. Na msimsingizie JPM ( Mkanda), huu mzigo ni tokea awanu ya nne na JPM alikuja kutekeleza tu.