Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

[emoji23][emoji23][emoji23]Mnateseka bure watalaamu walishafanya yao ya kitaalamu wakasema Mwanza city a.ka Rock city is second largest and best city in Tanzania after Dar es salaam no less or more.[emoji23][emoji23]nashindwa kuelewa shida inatoka wapi.Kama ni gugu basi mmewazidi mama wa kambo au wake wenza.Na kama mnahitaji kuwa wa kwanza au pili jitangazeni kwani shida hiko wapi au Mwanza city au rock city inawazuhia nini??[emoji23][emoji23]
SGR inaelekea Mwanza, pale Dodoma inapita tu, Arusha SGR sijui itakama inaishi midomoni mwa viongozi wetu. Kigoma inaongelewa kidogo kwa sababu kuna potential ya mizigo kutoka DRC na Burundi.

Nchi hii miji muhimu kibiashara na kiuchumi ni miwili tu Mwz na Dar ndio maana proposal ya kwanza ya ujenzi wa SGR ni ku link bandari ya DSM na MWZ. Na msimsingizie JPM ( Mkanda), huu mzigo ni tokea awanu ya nne na JPM alikuja kutekeleza tu.
 
Wacha kudharau majiji mengine huu uzi haupo kwa ajili ya kudharau mengine! Kila sehemu ina potential zake! Hata Arusha pia ukiacha Dar na Zanzibar, hamna jiji lina 5 and 4 stars hotels nyingi kupita Arusha! Na Mbona ikawa hivyo?
 
Wacha kudharau majiji mengine huu uzi haupo kwa ajili ya kudharau mengine! Kila sehemu ina potential zake! Hata Arusha pia ukiacha Dar na Zanzibar, hamna jiji lina 5 and 4 stars hotels nyingi kupita Arusha! Mbona ikawa hivyo?
Hao wanaoita Mwanza mji wa kimasikini hawadharau ama?
 
Tuliza mpira jiji la Tanga linakuja kwa kasi investments za EACOP, upanuzi wa bandari na maviwanda ya cement ukiacha EPZ! Usiache mbachao kwa msaala upitao!
 
Tuliza mpira jiji la Tanga linakuja kwa kasi investments za EACOP, upanuzi wa bandari na maviwanda ya cement! Usidharau mchao kwa msaala upitao!
EACOP miji yote litakapopita lazima ifaidike tu. Sema kwa Tanga Bandari itaongeza mapato sana tofauti na miji ambayo bomba limepita tu.
 
Na ndo maana EACOP wanajenga EA largest crude oil terminal at a cost of over $1 bln pale Chongoleani na hata bandari ya sasa inapanuliwa! Hata uwanja wa ndege wa Tanga unapanuliwa! Kwahiyo wacha dharau! Hata Lindi ina michakato ya LNG!
 
SGR inaelekea Mwanza, pale Dodoma inapita tu, Arusha SGR sijui itakama inaishi midomoni mwa viongozi wetu. Kigoma inaongelewa kidogo kwa sababu kuna potential ya mizigo kutoka DRC na Burundi.

Nchi hii miji muhimu kibiashara na kiuchumi ni miwili tu Mwz na Dar ndio maana proposal ya kwanza ya ujenzi wa SGR ni ku link bandari ya DSM na MWZ. Na msimsingizie JPM ( Mkanda), huu mzigo ni tokea awanu ya nne na JPM alikuja kutekeleza tu.
Nilishawaambia Tanzania ni Dar na Mwanza tu wengine niwasindikizaji tu.
 
Wacha kudharau majiji mengine huu uzi haupo kwa ajili ya kudharau mengine! Kila sehemu ina potential zake! Hata Arusha pia ukiacha Dar na Zanzibar, hamna jiji lina 5 and 4 stars hotels nyingi kupita Arusha! Na Mbona ikawa hivyo?
Kiongozi tuache kulaumiana mshikaji kasema hivyo coz kuna wana humu kutwa nzima kupondea MWANZA au wewe huwa unafurahi kejeli zao dhidi ya MWANZA?
 
Si muwaonyeshe facts za Mwanza? Unajua ni kitu cha ajabu Arusha na her international community na vibrant business mnaiponda hivyo ili kuikuza Mwanza hata kama kiuchumi Mwanza ipo juu ila Arusha pia ipo vizuri na kimiradi ya miundombinu imesahaulika!
 
Walionza kusema Mwz jiji kunaongoza kwa umasiki ni akina nani? Sehemu masikini serikali iangaike bure kuteketeza matrillion? Kwa nini SGR haikuwa proposed kupelekwa Namtumbo?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si muwaonyeshe facts za Mwanza? Unajua ni kitu cha ajabu Arusha na her international community na vibrant business mnaiponda hivyo ili kuikuza Mwanza hata kama kiuchumi Mwanza ipo juu ila Arusha pia ipo vizuri na kimiradi ya miundombinu imesahaulika!
Sawa kiongozi lakini tunataka wakubali kuwa Mwanza ipo juu yao kiuchumi.
 
Alafu anatokea zwazwa mmoja wa ziwani akidhani arusha haitumii kia kwa international flights😥 au mnajua kia iko chato🤣🤣
Mind you kia is only 40 kms from arusha cbd
Thanks for appreciating kia na si hio airport ya kubeba mbuzi😉
Still ni ya Klmanjaro not Arusha ifikie mahari Arusha msimame wenyew sio ktegemea. Klimanjaro kla sku
 
Alafu anatokea zwazwa mmoja anajaribu kulinganisha arusha na mwanza😥
Hebu chkueni kia +arusha airport tumewazidi zaidi ya mara 5 😎
Yan nyie ligi yenu ule uwania wetu mdogo arusha airport dah
Kilichonichekesha ni hapo kwenye international passengers🤣🤣yan abiria wenu wanatoka mbagala tu
Ndo maana tunawaambia kila siku mwanza is a local city for local people mji flani wa kishamba sana
Kwani KIA no Arusha au Klimanjaro?😂😂😂😂😂
 
hivi vitu havija jengwa bado.. kiburi niya nini msela.. mombasani tulikwisha yajenga kitambo... tukienda nairobaa sijui tuaanzia wapi sijui tutamalizia wapi?!!.. kwa sahii tuwachie tu hapo..
Watu wapo site ktambooooo
 
Back
Top Bottom