Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Nilikuambia Mwanza na Kisumu nikama usiku na mchana. Mwanza ni panya inajaribu kushindana na Ndovu(Kisumu)Hivi hapo kuna gorofa au ndo mmeamua kutuchekesha??Kweli kisumu ni sawa na Moshi city au iringa city [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]
Tofauti kubwa kama shilingi ya Kenya na Tanzania [emoji23]