weeee.... baki na hio laana yako ya size. size tunaangalia tu kiasi but sanasana sophistication:- ammenities, regional offices and organizations, cleanliness and infrastructure!. ona, kinshasa ni kubwa shinda johannesburg, lakini??... mumbai ni kubwa shinda new york lakini??.. hebu yatafakari hayo🤔🤔
kama ni size na idadi tu,.. basi nakuru ingekua the 3rd largest city!. but kuna vitu kisumu ikonayo nakuru haina ndo maana nakuru haijapewa hadhi ya city status... (ingekua tz, ingepewa in 1990)
boss,. hapa kenya hatuangalii idadii ya watu, tunazingatia vitu mingi tu!
View attachment 1787136
kama ni idadi na size, basi nakuru itaivua mwanza surwali mchana peupe!. nakuru had 951,267 population!!!!. (2020 nakuru urban censors).........
na mwanza around 750,000