Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

😅😂😂I love drone, ina expose how Tanzania looks like better than vipicha.,
Haya basi rudisha Uzi kwa Mwanza vs Kisumu., nini kipya Mwanza so far?., roads? Rail?, Airport, estates..

Moshi is developed than Nairobi

yani this is the famous Moshi! hua ninaiskia kila uchao.... Yosef, hebu njoo uone... 😆😆
 
Education in Kilimanjaro 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

images - 2021-05-14T153420.017.jpeg
images - 2021-05-14T153431.899.jpeg
images - 2021-05-14T153526.140.jpeg
images - 2021-05-14T153539.032.jpeg
images - 2021-05-14T153238.191.jpeg
images - 2021-05-14T153245.816.jpeg
 
Wewe si ulishasema tuonane mwakani au? 😅😅😅😅

Mimi naongelea kuhusu kufa njaa, statehouse hakuna maji, slums na madeni, usiniletee Wikipedia

Hamuwezi kununua hata paracetamol bila kuapply loan so hiyo gdp yenu ya 90b ina kazi gani?
mwenye alitaka kununua simu amegoma.. 😅so... tunarejelea uwanjani tena
 
Kwa hapa watakueelewa eti wanataka kufananisha kibera na tandale hawa jamaa kweli hamnazo wakati saivi mitaa ya tandale imepigwa zege na taaa juu na Barbara zimechorwa
Na pia nilichogundua 89% ya barabara za miji yote Kenya hazina sideways kabisa
 
na imagin tu kama tz ingekua na hio size ya gdp ($120b. (3rd in sub-sahara africa only after nigeria and SA, and 6th in the whole of africa).. ile kiburi mungekua nayo!!..[emoji848]!)

kama tu kuingia kwa Middle-Income-Economy in 2020, dunia mzima ilijua tz ime graduate... vile mliji gamba hadi BBC, CNN, ABC American Network..... saaana.!

Sisi tuliingia in 2001, na hata wakenya wengi hawakuwai jua kama wali vuka..

[emoji848][emoji848]hebu muyatafakarini hayo masela..


View attachment 1783781
Bora hata kuingia middle income is somehow making sense to celebrate lakini kujenga flyover ya Ubungo ilikuwa kelele hadi unashangaa hawa bangosha veeepe? Ndio maana tunashukuru yule mshamba wao Mungu katuondolea aisee walikuwa wanatutia aibu sana
 
na mbona haujaipiga vita south africa na pia iko kwa hii list yako!, inchi inayo chukuliwa kama the most advanced economy, na bado iko na slums kibao tu, hata kubwa kubwa na mbaya shinda za nairobi!. slums kama vile, Khayelitsha (cape town), soweto and alexandra (johannesburg), kennedy rd slums (durban). acha mchezo nanii..

[emoji116]hapa ni khayelitsha, cape town kwa mfano.....View attachment 1784364
Swali zuri na good observation,tunataka jibu
 
Back
Top Bottom