Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ya matako yako?

Muwe na GDP ya 120b na bado mnakopa mpaka paracetamol?
na imagin tu kama tz ingekua na hio size ya gdp ($120b. (3rd in sub-sahara africa only after nigeria and SA, and 6th in the whole of africa).. ile kiburi mungekua nayo!!..πŸ€”!)

kama tu kuingia kwa Middle-Income-Economy in 2020, dunia mzima ilijua tz ime graduate... vile mliji gamba hadi ABC, BBC, NBC, CNN, CGTN, Al jazeera..... saaana.!

Sisi tuliingia in 2001, wakenya ata hatuku jigamba, ata hatukutaka jua

πŸ€”πŸ€”hebu muyatafakarini hayo machizi

for tz.jpg
 
sorry but i think am signing out of Jamii Forum. sorry my brothers.. ntarejea after 1yr or soπŸ˜”. i ll miss u pipo especially, Mdasi, Opportunity cost, Mwadhan, Yosef, and my opposition friends like, Kitombi!, Geza ulole, Dpresident
 
na imagin tu kama tz ingekua na hio size ya gdp ($120b. (3rd in sub-sahara africa only after nigeria and SA, and 6th in the whole of africa).. ile kiburi mungekua nayo!!..πŸ€”!)

kama tu kuingia kwa Middle-Income-Economy in 2020, dunia mzima ilijua tz ime graduate... vile mliji gamba hadi BBC, CNN, ABC American Network..... saaana.!

Sisi tuliingia in 2001, na hata wakenya wengi hawakuwai jua kama wali vuka..

πŸ€”πŸ€”hebu muyatafakarini hayo masela..

View attachment 1783781
Is
GDP it's just digits, nothing substantial ndio maana pamoja na hiyo gdp yenu ya 90b bado mnakufa kwa njaa, kiu, slums na hamuwezi hata to pay salaries without loans
 
Moshi is developed than Nairobi

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£Ndio maana napenda drone, maneno yako yanaishia tu kukua maneno, wacha video ijitetee., look how your towns are? Hiyo eti ni maendeleo?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., low levels, yaani hii ni noma in TzπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., next drone...,?? Weka zingine nione .,πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘.,
 
Is
GDP it's just digits, nothing substantial ndio maana pamoja na hiyo gdp yenu ya 90b bado mnakufa kwa njaa, kiu, slums na hamuwezi hata to pay salaries without loans
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…, Utajitekenya na kucheka mwenyewe, ukweli uko wazi tu. Mko ovyo EAC na SADC.,
1612944186467.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nani alikwambia flyovers ndo maendeleo?!Kama flyovers ni maendeleo mbona Nairobi ina maflyovers kibao lakini watu wake wanaishi kwenye nyumba za mabati kama kuku au nguruwe huko kibera,mathare na Dandora.Ikitokea Mwanza mtu anaishi kwenye nyumba ya mabati lazima wananzengo tumchangie japo Mwanza hakuna flyoverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akili fupi, yaani kilaza., what was the essence of this thread? Comparison analysis, hamuna chochote to level with Kenya's towns nje ya Dar, Kiswahili mingi bakisha kule vijiweni naniiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ Mwanza mji wa kimasikini in Tz afadhali Arusha, na eti ya pili in Tz. , Sura ya uchochole kila kona.,
 
Yaani wewe ni kilaza nyuma na mbele inawezekana haujui hata kusoma.Sasa iwe mwisho kuleta maneno ya kijinga from slums country.

Screenshot_2021-05-14-08-46-05.png

Screenshot_2021-02-25-00-53-01.png
 
Akili fupi, yaani kilaza., what was the essence of this thread? Comparison analysis, hamuna chochote to level with Kenya's towns nje ya Dar, Kiswahili mingi bakisha kule vijiweni naniiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ Mwanza mji wa kimasikini in Tz afadhali Arusha, na eti ya pili in Tz. , Sura ya uchochole kila kona.,
Uwezi kukuta upumbavu kama huu kwa majiji ya Tanzania yaani jiji kuwa na mbavu za mbwa katikati ya jiji kama Nairobi.Kuanzia Dar city(Dar es salaam),Rock city(Mwanza),A-city(Arusha),Capital city(Dodoma) mapaka Green city(Mbeya)
 
Yaani wewe ni kilaza nyuma na mbele inawezekana haujui hata kusoma.Sasa iwe mwisho kuleta maneno ya kijinga from slums country.

View attachment 1784047

View attachment 1784048
Nikikuambia wewe ni mpumbavu na ignorant, yaani kilaza kupindukia haitakua ni tusi, it is an outright compliment kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…, yaani unaenda google unaokota vidata uchwara, hauna akili ya kuchunguza the source uone credibility wewe ni kukurupuka tu na opinionated piecesπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…., tangu lini Kibera ikakua na watu 700,000! mara mnasemaga 2million, sasa mnapunguza tena?πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜…, Idiot indeedπŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£, 2019 census puts Kibera at aprox 190,000, election body(IEBC) ambayo inafanyisha uchaguzi ikapata total ya residents ni less than 200k ilipokua ikisajili wapiga kura for a by-election baada ya MP wao kufariki,(I give u benefit of doubt, research na ujiangalilie mwenyewe udhibitishe usiseme napika data, nawajua vizuri, hampendi ukweli), wewe pambana na hali yenyu,. ,Dar es salaam 70% plus ni walala hoi fukara., Picha ya taifa., facts will prove that., Bali wewe Utalazimisha propaganda ili Kenya iwe level yenyu ya uchochole, mimi naeza kupatia facts ukalia., Mko ovyo zaidi ukanda huu., don't argue with me kijinga jinga dogo., jichunguze ama fanya utafiti mwafaka kisha uje., hii sasa ndio matokeo ya elimi hafifu., mko ovyo kwa kila kitu.., ni laana ama ni ujinga?πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…, danganya toto jingaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£., jipe shughli ama nenda uka lilie kwa chooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜..., world bank kumbe wanawaonea wivu, beberu hawapendi Tanzania wanawasingizia., ama pia kwa kuwaweka mido income walisingizia?., kubali matokeo yoteπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
1612944186467.jpg
 
Unaenda wap kamanda au unataka kuuza simu yako.
sorry but i think am signing out of Jamii Forum. sorry my brothers.. ntarejea after 1yr or soπŸ˜”. i ll miss u pipo especially, Mdasi, Opportunity cost, Mwadhan, Yosef, and my opposition friends like, Kitombi!, Geza ulole, Dpresident
 
Nikikuambia wewe ni mpumbavu na ignorant, yaani kilaza kupindukia haitakua ni tusi, it is an outright compliment kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…, yaani unaenda google unaokota vidata uchwara, hauna akili ya kuchunguza the source uone credibility wewe ni kukurupuka tu na opinionated piecesπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…., tangu lini Kibera ikakua na watu 700,000! mara mnasemaga 2million, sasa mnapunguza tena?πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜…, Idiot indeedπŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£, 2019 census puts Kibera at aprox 190,000, election body(IEBC) ambayo inafanyisha uchaguzi ikapata total ya residents ni less than 200k ilipokua ikisajili wapiga kura for a by-election baada ya MP wao kufariki,(I give u benefit of doubt, research na ujiangalilie mwenyewe udhibitishe usiseme napika data, nawajua vizuri, hampendi ukweli), wewe pambana na hali yenyu,. ,Dar es salaam 70% plus ni walala hoi fukara., Picha ya taifa., facts will prove that., Bali wewe Utalazimisha propaganda ili Kenya iwe level yenyu ya uchochole, mimi naeza kupatia facts ukalia., Mko ovyo zaidi ukanda huu., don't argue with me kijinga jinga dogo., jichunguze ama fanya utafiti mwafaka kisha uje., hii sasa ndio matokeo ya elimi hafifu., mko ovyo kwa kila kitu.., ni laana ama ni ujinga?πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
Acha matusi tunabishana kwa hoja, umesema idadi ya wapiga kura wa kibera ni 190000 na hao ni waliojiandikisha kupiga kura, na je vipi kuhusu wale ambao hawakujiandikisha, na vipi kuhusu vijana wadogo na watoto je mliwahesabu hakika nazani pop ya kibera ni zaid ya 2mil hacha urofa.
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…, danganya toto jingaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£., jipe shughli ama nenda uka lilie kwa chooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜..., world bank kumbe wanawaonea wivu, beberu hawapendi Tanzania wanawasingizia., ama pia kwa kuwaweka mido income walisingizia?., kubali matokeo yoteπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
View attachment 1784162
Kenya ni most Poorest country globally

Screenshot_20210514-131431.png
 
Is
GDP it's just digits, nothing substantial ndio maana pamoja na hiyo gdp yenu ya 90b bado mnakufa kwa njaa, kiu, slums na hamuwezi hata to pay salaries without loans
compare and contrast everything, from Gdp size, Gdp per capita, Human Development Index (HDI), Gini.. etc.
πŸ‘‡kenya
2021_05_14_13.42.09.jpg

πŸ‘‡tanzania
2021_05_14_13.43.12.jpg
 
compare and contrast everything, from Gdp size, Gdp per capita, Human Development Index (HDI), Gini.. etc.
πŸ‘‡kenya
View attachment 1784327

πŸ‘‡tanzania
View attachment 1784329
Wewe si ulishasema tuonane mwakani au? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mimi naongelea kuhusu kufa njaa, statehouse hakuna maji, slums na madeni, usiniletee Wikipedia

Hamuwezi kununua hata paracetamol bila kuapply loan so hiyo gdp yenu ya 90b ina kazi gani?
 
Yaani wewe ni kilaza nyuma na mbele inawezekana haujui hata kusoma.Sasa iwe mwisho kuleta maneno ya kijinga from slums country.

View attachment 1784047

View attachment 1784048
na mbona haujaipiga vita south africa na pia iko kwa hii list yako!, nchi inayo chukuliwa kama the most advanced economy, na bado iko na slums kibao tu, hata kubwa kubwa shinda za nairobi!. slums kama vile, Khayelitsha (cape town), alexandra (johannesburg), kennedy rd slums (durban). acha mchezo nanii..

πŸ‘‡hapa ni khayelitsha, cape town kwa mfano.....
khayelitsha.jpg
 
Back
Top Bottom