Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuru inahusiana vp na thread ya Kisumu vs Mwanza? Au baada ya kuona Mwanza ikiisigina Kisumu umeamua kuileta Nakuru? Saahii ni Mwanza vs Kisumu n Nakuru!
saitan... kwani wee unanipangia cha kufanya?!.. nakuru naona imeanza kukutia hofu na mapema, tu sawa na venye mombasa ili wa humble wewe, Dpresident na kitombile,..! ndo maana umeanza kurusha mateke na mapema! pole, mwanza ni mji wapili.. na so itaweza shindana na mji wowote kenya kando na nairobi............. wee bisho tuNakuru inahusiana vp na thread ya Kisumu vs Mwanza? Au baada ya kuona Mwanza ikiisigina Kisumu umeamua kuileta Nakuru? Saahii ni Mwanza vs Kisumu n Nakuru!
Hao mara utawasikia wakileta mombasa, kericho sijui nakuru mara kisii utasikia na wengine wanaleta arusha wanaongeza na kilimanjaro miji yote hiyo inaletwa kuongeza nguvu against The great MWANZA CITY.Nakuru inahusiana vp na thread ya Kisumu vs Mwanza? Au baada ya kuona Mwanza ikiisigina Kisumu umeamua kuileta Nakuru? Saahii ni Mwanza vs Kisumu n Nakuru!
Hivi haka kauwanja ndio mnakajenga sasa! Huu uwanja unaingia mara nne kwa CCM KIRUMBA sisi kuhusu habari za viwanja vya mpira tulisha maliza mwaka 1970 poleni sana.
great city gani.... si mombasa na nakuru imefanya mmekimya!... 🤔 mmetii yani!Hao mara utawasikia wakileta mombasa, kericho sijui nakuru mara kisii utasikia na wengine wanaleta arusha wanaongeza na kilimanjaro miji yote hiyo inaletwa kuongeza nguvu against The great MWANZA CITY.
wow nakuru is beautifulnakuru will still continue ravaging till last!View attachment 1781444View attachment 1781403View attachment 1781404View attachment 1781408View attachment 1781409View attachment 1781414
Huu uwanja ni sawa na Ngwambina complex Misungwi unaomilikiwa na Ngwambina sport clud(Ngwambina Fc)
The great rock city Mwanza kwasababu miji yote ya Kenya except Nairobi imeamua kuichangia Mwanza ikiwepo Mombasa na takataka zingine ila bado mnatoka jasho.😂😂😂😂great city gani.... si mombasa na nakuru imefanya mmekimya!... 🤔 mmetii yani!
sawa bass mkuu.. mwanza is the 'greatest' city in africa.. nadhani umefurahi sasa. coz kubishana na wewe ni kama kuipigia mbuzi guitar.The greact rock city Mwanza kwasababu miji yote ya Kenya axcept Nairobi imeamua kuichangia Mwanza ikiwepo Mombasa na takataka zingine ila bado mnatoka jasho.😂😂😂😂
Mbona vipicha vile vile kila siku na vigorofa ni vile vile sasa nyie inabidi tuwapeleke kwa Iringa city hii platform sio size yenu.😠😠😠😠Kisumu "Yurop"😅
Swali kwa watu wa Kisumu, nimepita hizo sehemu, watu wengi ni kama hawataki governor Prof. Nyong'o, mbona na vile amewajengea mji., lami hadi mitaani ndani ndani., street lighting, advertising screens.., why do guys want to vote him out???,., Mji ni safi zaidi., and organized kwa sasa.,
View attachment 1782075
View attachment 1782058
View attachment 1782064
View attachment 1782069
View attachment 1782070
View attachment 1782071
View attachment 1782072
View attachment 1782073
View attachment 1782081
View attachment 1782085
View attachment 1782087
Hii nakuru ikaanzishe uzi wake napendekeza thread iwe hivi, nakuru vs iringa/morogoro kwa MWANZA mna safari ya miaka 200.nakuru will still continue ravaging till last!View attachment 1781444View attachment 1781404View attachment 1781403View attachment 1781408View attachment 1781409View attachment 1781414
🤣🤣🤣Huu uwanja ni sawa na Ngwambina complex Misungwi unaomilikiwa na Ngwambina sport clud(Ngwambina Fc)