Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili ndilo sababu kuuona.. kenya ina ngaa usiku shinda tzView attachment 1773970
Hawa ni mijisifa hewa tu, ni kelele wamependa sana but they have a long way to go!😂😂😂., Dar pekee ndio mji wa maana Tz., Mombasa inaipumulia kwa kisogo.,hii ndo maana.. hata hizi miji inayochukuliwa kama medium-size hapa kenya, ingepelekwa tz, ingevuruga miji za huko. naongelea miji kama,kericho, kitale, meru, nyeri, machakos, thika, kisii, naivasha, malindi etc.. kwa mfano my hometown of kericho, nimejaribu kulinganisha na miji za kadri za tz, lakini bado sijaona wa kuilinganisha nayo. kericho iko ligi yake.. hii 👇hapa kericho kwa ufupiView attachment 1774205
View attachment 1774200
View attachment 1774187View attachment 1774189View attachment 1774190View attachment 1774191View attachment 1774192View attachment 1774218View attachment 1774221View attachment 1774223View attachment 1774223View attachment 1774243View attachment 1774244View attachment 1774245View attachment 1774246View attachment 1774248View attachment 1774249View attachment 1774250View attachment 1774252View attachment 1774251View attachment 1774254View attachment 1774255View attachment 1774256
View attachment 1774185
View attachment 1774253
hebu ongeza volume wasikie vizuriHawa ni mijisifa hewa tu, ni kelele wamependa sana but they have a long way to go!😂😂😂., Dar pekee ndio mji wa maana Tz., Mombasa inaipumulia kwa kisogo.,
Akina Kericho, Thika etc in Tz na Uganda hizi zitaitwa city., unajua wako na city ngapi kweli?😂😂😂., Dodoma pia eti ni city😂😂😂.,hebu ongeza volume wasikie vizuri
Kisumu City iko ligi yake
Hongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia😂😂😂asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika😂😂😂😂
Na nyinyi mko na gorofa gani kama sio hizo Mawe mnaita rock city. Interchange ni moja Tanzania na iko Dar[emoji23] na mnaita Mwanza Jiji la Pili Tanzania. Kenya iku juuHongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia[emoji23][emoji23][emoji23]asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2019wapi... niulize mimi mtu hata sitoki kisumu. hii project, ground breaking nili witness mimi last year around August. hata mwaka haija zama.. uwivu wako peleka chini ya bahari hindi. na hata ivo.. mna ghorofa ngapi zaidi ya 9, mle mwanza??. nimepata kuona tu ☝kamoja! alafu mtu anakuja akijivuna hapaHongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia😂😂😂asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika😂😂😂😂
😂😂😂Hongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia😂😂😂asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika😂😂😂😂
Kuweni na heshima nyang'au.....View attachment 1146991
View attachment 1146992View attachment 1146993
View attachment 1146994
tu ndo nimegundua waTzii hawana uzalendo hata kidogo. wao watapigana vita baina yao wenyewe. watazilinganisha gani zaidi kati za miji zao wenyewe..🤔🤔Angalau ungecompare na Mombasa, na sio kisumu mkuu.
Alafu anakuja mtu hapa kuicompare Mwanza na kijiArusha.