Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

tu ndo nimegundua waTzii hawana uzalendo hata kidogo. wao watapigana vita baina yao wenyewe. watazilinganisha gani zaidi kati za miji zao wenyewe..🤔🤔

kenya tuko na uzalendo kiasi cha haja. miji zote tunazichukua kama ya kila mkenya, hata kama hautoki huko.. yatafakari hao

Lakini mkuu, watanzania most of them wanaroho yakipekee kwa east afrika. Kwingine sijui.
 
ata hii thread inge faa kubadilishwa from Kisumu vs Mwanza........
to 'kenya vs tanzania cities, outside of Dar and Nairobi'
 
Kisumu pacho
13493012_172808867965040654238064866344557604915315n_jpegd7886544d71f108eff3d005d35fd4479.jpeg
 
tukiambikizana tu cha ukweli na bila kua na ubaguzi .... jiji gani zaidi kati ya mwanza na nakuru.. mimi niki fanya fair judgement bila mapendeleo wowote ule, nta sema nakuru. je wewe?
Unapoteza nguvu bure,Mwanza is just second kwa umaskini Tzn behind Shinyanga nothing else.

Hiyo Nakuru ishindane na Arusha
 
hili ndilo sababu kuu
.. hata hizi miji inayochukuliwa kama medium-size hapa kenya, ingepelekwa tz, ingevuruga miji za huko. naongelea miji kama, kericho, kitale, meru, nyeri, machakos, thika, kisii, naivasha, malindi etc.. kwa mfano my hometown of kericho, inayo orodheshwa kama mji nambari12 kwa ukubwa, nimejaribu kuilinganisha na miji za kadri za tz, lakini bado sijaona ya kuilinganisha nayo. kericho iko ligi yake mazee.. hii [emoji116]hapa kericho kwa ufupiView attachment 1774187View attachment 1774205View attachment 1775133
View attachment 1774189View attachment 1774190View attachment 1774191View attachment 1774249

[emoji116]Green Square Mall, kericho.View attachment 1774192View attachment 1774254View attachment 1779681View attachment 1774250

[emoji116]Simba Gate Mall, kericho.View attachment 1774327View attachment 1774245View attachment 1774221View attachment 1774251View attachment 1774244View attachment 1775350View attachment 1775688

[emoji116]tea estates, kericho town in the backgroundView attachment 1776480View attachment 1774218wazungu wameuteka mji huu kweli,.. British companies kama vile, Williamson Tea, Finlays Tea, Brooke Bond.. majina ni mengi tu.. huu, kidogo ni mji wa asili nyingi tuView attachment 1774814

[emoji116]Automobile Industry in kerichoView attachment 1775334View attachment 1775335

[emoji116]Sacred Hearts Cathedral, Kericho. The second largest Cathedral in kenya only after Don Bosco Cathedral in NairobiView attachment 1779678View attachment 1774758

[emoji116]Guru Nanak.. the largest Sikh Temple in kenya!View attachment 1775254View attachment 1775187

[emoji116]Kericho Interchange on course, under construction by SBI International Co.View attachment 1774760View attachment 1775936View attachment 1774252Dpresident. hivo tu ndo kunaendaga.. usikonde.. kenya ni kenya tu, hata uende pembe gani..
Kericho is awesome just like amazing Njombe Town
 
Unapoteza nguvu bure,Mwanza is just second kwa umaskini Tzn behind Shinyanga nothing else.

Hiyo Nakuru ishindane na Arusha
Ukitaka kunya..kunya tu,ukitaka kufa ..kufa tu😂😂😂Mwanza is second best and second largest city in Tanzania and cheapest life city in east africa kama inakuuma au unakeleka sema tu 😂😂😂😂utakuja kufa bure.

Screenshot_2021-05-03-11-22-39.png
 
Back
Top Bottom