Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

another first from nakuru
nakuru9.jpg
nakuru8.jpg
nakuru6.jpg
nakuru7.jpg
sio mchezo babake..
 
Nakuru inahusiana vp na thread ya Kisumu vs Mwanza? Au baada ya kuona Mwanza ikiisigina Kisumu umeamua kuileta Nakuru? Saahii ni Mwanza vs Kisumu n Nakuru!
saitan... kwani wee unanipangia cha kufanya?!.. nakuru naona imeanza kukutia hofu na mapema, tu sawa na venye mombasa ili wa humble wewe, Dpresident na kitombile,..! ndo maana umeanza kurusha mateke na mapema! pole, mwanza ni mji wapili.. na so itaweza shindana na mji wowote kenya kando na nairobi............. wee bisho tu
 
Nakuru inahusiana vp na thread ya Kisumu vs Mwanza? Au baada ya kuona Mwanza ikiisigina Kisumu umeamua kuileta Nakuru? Saahii ni Mwanza vs Kisumu n Nakuru!
Hao mara utawasikia wakileta mombasa, kericho sijui nakuru mara kisii utasikia na wengine wanaleta arusha wanaongeza na kilimanjaro miji yote hiyo inaletwa kuongeza nguvu against The great MWANZA CITY.
 
great city gani.... si mombasa na nakuru imefanya mmekimya!... 🤔 mmetii yani!
 
great city gani.... si mombasa na nakuru imefanya mmekimya!... 🤔 mmetii yani!
The great rock city Mwanza kwasababu miji yote ya Kenya except Nairobi imeamua kuichangia Mwanza ikiwepo Mombasa na takataka zingine ila bado mnatoka jasho.😂😂😂😂
 
The greact rock city Mwanza kwasababu miji yote ya Kenya axcept Nairobi imeamua kuichangia Mwanza ikiwepo Mombasa na takataka zingine ila bado mnatoka jasho.😂😂😂😂
sawa bass mkuu.. mwanza is the 'greatest' city in africa.. nadhani umefurahi sasa. coz kubishana na wewe ni kama kuipigia mbuzi guitar.

🙉🙉 olewangu,.. naona pia kizungu inakupiga chenga
 
Kisumu "Yurop"😅
Swali kwa watu wa Kisumu, nimepita hizo sehemu, watu wengi ni kama hawataki governor Prof. Nyong'o, mbona na vile amewajengea mji., lami hadi mitaani ndani ndani., street lighting, advertising screens.., why do guys want to vote him out???,., Mji ni safi zaidi., and organized kwa sasa.,
1620725988933.jpg

1620750088031.jpg

1620750087918.jpg

1620750079254.jpg

1620750079583.jpg

1620750079372.jpg

1620750079477.jpg

1620750066735.jpg

1620750079155.jpg

1620119854508.jpg

1620119851194.jpg
 
Kisumu "Yurop"😅
Swali kwa watu wa Kisumu, nimepita hizo sehemu, watu wengi ni kama hawataki governor Prof. Nyong'o, mbona na vile amewajengea mji., lami hadi mitaani ndani ndani., street lighting, advertising screens.., why do guys want to vote him out???,., Mji ni safi zaidi., and organized kwa sasa.,
View attachment 1782075
View attachment 1782058
View attachment 1782064
View attachment 1782069
View attachment 1782070
View attachment 1782071
View attachment 1782072
View attachment 1782073
View attachment 1782081
View attachment 1782085
View attachment 1782087
Mbona vipicha vile vile kila siku na vigorofa ni vile vile sasa nyie inabidi tuwapeleke kwa Iringa city hii platform sio size yenu.😠😠😠😠
 
Back
Top Bottom