Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Acha matusi tunabishana kwa hoja, umesema idadi ya wapiga kura wa kibera ni 190000 na hao ni waliojiandikisha kupiga kura, na je vipi kuhusu wale ambao hawakujiandikisha, na vipi kuhusu vijana wadogo na watoto je mliwahesabu hakika nazani pop ya kibera ni zaid ya 2mil hacha urofa.
Unaona sasa mlivyo boya, yaani mmeganda akili kishenzi, Kazinrahisi tu hamuwezi kufanya, ama unajitia hamnazo pia na wewe😂😂😂😂, hiyo ni total population against the registered voters which I didn't indicate, jameni kaka si unge google tu ujisomee, tukiwaambia ukweli mnapinga afadhali kama uko na uwezo wa ku resaerch and able to critically analyse the presented data then ujitafutie, find out the registered voters in Kibera and the total population.., uzembe peleka mbali, sisi sio wenzenu kwa shida zinazo wakumba, haswa umasikini.,😂😂
 
Industries in Kilimanjaro 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

IMG-20210302-WA0035[5929] (1).jpg
images (44).jpeg
images (45).jpeg
images (46).jpeg
images (47).jpeg

IMG-20210302-WA0035[5929] (1).jpg
 
LMIC mnaongoza kwa ufukara duniani 😅😅

View attachment 1784352
Weka link ya report yote from the world bank yenye mwandishi anasema ka quote nikuonyeshe kitu, tuende taratibu, wacha nikusaidie kilaza wa mapicha, it was released in January 2021., na iko kwa website ya world bank, State of economic inclusion., it's in PDF format., leta hapa kama uko na kende tuichambue, haya niko free leo, leta haraka Kilaza.., Kuna kipindi niliweka humu mkakimbia, leo leta mwenyewe usije ukasema nime hack website ya world bank nika edit😂😂😂😂😅., January 2021...,world bank website.., 😂😂😂😂😅,
Utabaki na hekaya za abunuasi, hii hapa ndio sahihi na sio propaganda.., pinga hii kwa kunionuesha haipo kwa report ya world bank or website., nami ndaku prove wrong., jikwamueni mwache kutuaibisha in East Africa
1612944186467.jpg

Mnavuta East Africa nyuma according to this March 2021 analysis;
1620989792575.jpg
 
View attachment 1784367

Mnavuta East Africa nyuma according to this March 2021 analysis;
View attachment 1784380
Poorest globally 😅😅😅
Screenshot_20210514-131431.png
 
na mbona haujaipiga vita south africa na pia iko kwa hii list yako!, inchi inayo chukuliwa kama the most advanced economy, na bado iko na slums kibao tu, hata kubwa kubwa na mbaya shinda za nairobi!. slums kama vile, Khayelitsha (cape town), soweto, alexandra (johannesburg), kennedy rd slums (durban). acha mchezo nanii..

👇hapa ni khayelitsha, cape town kwa mfano.....View attachment 1784364
Tanzania ni nchi nzima, low life standards, zile wanaita average ni za kishamba balaa😅😂😂😂😅, wachana na SA, Kuna slums ndio lakinibpia average housing zao ni nafuu sana, slums unaweza uka point kwa kidole ziko sehemu sehemu, in Tanzania hali duni imetapakaa, nyumba za kishamba pia world bank waliona na wanajua ni kwasababu ya umasikini 😅😂😂😂😅,. Zile modern housing or average estates kama za Nairobi or Kisumu, Eldoret or any town in Kenya na sio high end, nasema zike normal housing standards, kwao sidhani raiya wanafika 10% for those standards., 90% ni low life, mjini na vijijini., nyumba funny funny😝😝😂😂😂😅😅
1619336969907.jpg

1619336970261.jpg
 
Kilimanjaro 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Largest Africa's Wildlife Education Institute

Kenyans tend to think they got the Mountains view, isn't it laughable now? 🤣🤣🤣

images (96).jpeg
images (97).jpeg
images (98).jpeg
images (99).jpeg
images - 2021-05-14T151948.667.jpeg
614b8d_2e04119368fe407d827097a22e5dd2b6_mv2_d_2592_1936_s_2.jpg
images (100).jpeg
images - 2021-05-14T152105.713.jpeg
images - 2021-05-14T151921.855.jpeg
images - 2021-05-14T151830.937.jpeg
images - 2021-05-14T151830.937.jpeg
images - 2021-05-14T151626.786.jpeg
 
Back
Top Bottom