Kisumu vs Mwanza

Acheni kutuchosha vipicha na vigorofa ni vilevile kila siku mnachofanya ni kupiga vipicha ucku na mchana basi.Kitu kingine hivi kisumu ina mtaa mmoja tu.Kwa maana sioni residential houses,bus terminals,dala dala stands,masoko,viwanda area,city garden,hospital fecilities,beaches nzuri,bridges,best mosques,best churches, International schools & universitis,appartments.Sasa nyie mmekomalia kaflyover hakohako kila siku.Njooni Mwanza,Arusha na Dar mjifunze sio kuwa wabishi bila sababu.
 
Tunawahurumia tu, πŸ˜‚πŸ˜‚ mmekosa jibu., ikija roads or residential ndio mnakua ovyo zaidi, afadhali mmbaki kwa CBD tu., msitoke nje ni aibu kiukweli.,
Nikupe tu Kionjo ya Kisumu residential estates;




Riat hills

Lolwe estate


Lolwe estate (aerial view from Mamboleo)πŸ‘‡

Oil consignment for Uganda being taken to Kisumu port for loading to the ship.,
 
Why cherry picking ngoja tukusaidie kidogo View attachment 1805022View attachment 1805023
Hapo sawa ukimwambia mtu residential settlements anatuletea mara estates mara appartments utadhani wakenya wote ni afisa magereza au posta au reli au utadhani ni wahindi wanaishi kwenye magorofa ya national housing (NHC).Kumbe ni umasikini unawasumbua hawawezi kujenga nyumba zao bila msaada wa serikali tofauti na hapo ni wanaishi kwenye maslums ya mabati kule kibera na kisumu kama unavyoona hapo.Narudia tena waje ARUSHA,MWANZA NA Dar wajifunze watu wanavyoishi sio kuishi kama kuku kwenye mabanda ya mabati.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaumwa kweli,. hadithi za vijiweni weka pembeni., Mwaga za Mwanza wacha hekaya za abunuasi.,πŸ˜πŸ˜πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Tanzania tunaijua vizuri, na hali yenyu ya uchochole iko wazi tuπŸ˜‚πŸ˜‚., ikija standard housing mko ovyo, sasa unadhani hizi za Kisumu ni za employed, kwa vile kwenyu wenye mshahara ndio wanaishi kwa standard housing nyie wengine ni vibaraka, hawkers, wanabiashara wa hand to mouth, na wajakazi wa walio andikwa(employed) mjini, nyumba zenu kwa wingi ni zile za kishamba., uwezo wa kibinafsi ni hafifu, uchumi mdogo watu wengi nchi kubwa unatarajia nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜., low standards kote kote., Wacha kutazama Kenya kupitia kioo cha umasikini wa kitanzania kakaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., we are not the same. Remove those lenses, zinakupa erroneous perspective ya KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatufanani licha ya mapungufu yetu.,πŸ˜‚
 
Unataka nyingine nikuletee za Nyalenda?
Zote zote, good and bad!., ukipenda, najua mnapenda kutafuta matako ya Kenya ili kujifariji ama mpate pa kupumulia, nakupa ruhusa kaka., Kisha ukimaliza tandaza na za Mwanza., kote kote pia., facts ni mambo yote humu.,
 
Mmekosa jibu kabisa kutoka Mwanza eti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nime jibu post zenu na Kisumu CBD, beaches, residentials, road network lakini mmeshindwa kujibu, sasa mmekimbilia matako ya kenya ili kujaribu kuikomboa Mwanza kutokana na kichapo cha mbwa, wacha nikuonyeshe na wewe vile Mwanza ni mji wa uchochole Tanzania yote, afadhali Arusha iwe second City lakini sio Mwanza, bingwa wa umasikini..,

kila nchi iko na mapungufu yake., ata zilizo endelea kama SA, but yenyu imetapakaa kwa wingi kote kote, sio sehemu sehemu., kulikoni., aerial view or video clips hampendi., aibu tupu.,
next time stick kwa mada, jibu hoja kwa hoja, for now enjoy your Mwanza..,



ROCK CITY KIUKWELIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡







Normal residentials, yani makazi ya standards za kawaida Mwanza




Ona ujenzi ulivyo wa kienyeji sana for normal housing, sio slum, lower middle;

Life at lake Victoria Mwanza..,


60 to 70% low life residentials, kama tu Dar! Afadhali Arusha mara mia moja!





Hakuna proper residential estate in Mwanza.., zilete hapa kama zipo., na ni ngapi.., tuone against kisumu., najua kuna mazuri., iko kwa kiasi kipi?.., quantity ya standard housing in Mwanza vs Kisumu.., hapa najua pumzi utakosa.,,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kumbe wewe una matatizo ya medula oblangata sio bure,Nimegundua wakenya hawajielewi kweli hili limjamaa linazungumzia makazi bora Kenya kuizidi Tanzania sijui halitambui au kuelewa maana ya slums wakati wakenya wanajiita wazungu wa afrika.??Ngoja nilisahidie slums are poorest settlements characterize poverty and have lowest standard of living Conditions.NOTE:- Kenya has largest slums in Africa eg Kibera with population of 700,000 and Mathare 500,000 as shown on the attachment below.Sasa wewe mkenya ujasili wa kuisema Tanzania unatoka wapi??Kwa taarifa yako Mwanza ni jiji la pili la kibiashara after Dar kila unachokiona ni mali za wafanyabiashara kama unataka nyumba za wafanyakazi wa serikali nenda Dodoma utaziona.Kiukweli hii kisumu mnayotusumbua nayo sawa na iringa ndo maana huwezi ona tunaendelea kupost picha picha ni kupoteza muda.Kitu kingine nilikuuliza hivi huko kisumu hakuna hospital ficities,hakuna industrial area,hakuna bus terminals,hakuna dala dala stands,hakuna masoko,hakuna beaches za kuvutia,resting city garden,hakuna international schools,hakuna international universities,Hakuna bridges facities au ndo kusema kisumu ni kaflyover tosha??
 
Nami nimejiuliza ina maana wakenya hawana huwezo wa kujenga nyumba zao wenyewe adi wajengewe na serikali yao kweli hawa jamaa ni masikini sana!
 
Nami nimejiuliza ina maana wakenya hawana huwezo wa kujenga nyumba zao wenyewe adi wajengewe na serikali yao kweli hawa jamaa ni masikini sana!
nionyeshe nyumba za serikali in Kisumu pekee, especially zile nilipost tuone? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hakuna ata moja utapata! Kenya ni nchi ya kibepari na sio ya ujamaa ambayo serikali inamiliki kila kitu kama kule kwenyu kwa ufukara.,
 
Sasa kumbe wewe ni kilaza, semi illiterate kama kaka yako ichoboy01 kule Nairobi vs DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Mnaishi kwa propaganda mnatamani tuwe level yenyu lakini wapi, sasa wewe unajua Kibera ni 700,000 to 1million according to your inability ya kukagua facts from fiction πŸ˜‚πŸ˜‚., National census ya 2019 Kenya bureau of statistics walipata around 200,000., Pia utafiti mwafaka huu hapa ukipata tofauti na matarajio yenyu, yaani mnatamani Kenya iangamie ama iwe below you kakini wapi., tuko na mapungufu but we are not same as u;




Nyie world bank walifanya utafiti wa umasikini wa kutupwa mwaka jana wakitumia kigezo cha LDC (living below $1.9)., Mkapatikana mafukara 28 million, yaani mko ovyo ukanda huu!πŸ˜‚ lakini mmependa propaganda tu, poleni jikazeni mtafika tu, ujamaa na propaganda za CCM zimewafumba macho na kugandisha fikra zenu., facts and numbers never lie.,
 
Those are Cave men[emoji23][emoji23][emoji23]. Huwezi kuta Suburbs Mwanza. Alafu wanataka kujiweka na Kisumu. Are these people really normalView attachment 1806663View attachment 1806661View attachment 1806662
 
Ndo maana tumeamua kukaa kimya kwasababu tumeishaona nyinyi ni hamnazo kumukichwa.Ukweli ni kwamba hizo picha zote hapo kwa mwanza ni mtaa mmoja wa bwiru au isamilo kama nimfuatiliaji rudi nyuma kuna clip ya video utaona mtaa wa bwiru au isamilo then ulinganishe na hio kisumu nzimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…