Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Makasiriko sitaki
Nitafutie suburbs kama hizi Nairobi haraka
Hii hapa isamilo na mwananchi nimetafuta naona bwiru bado haijatumwa humu na hizi ni mitaa miwili tofauti na ziko mbali mbali,Inabidi tubadilishe hii forum ili isomeke Mwanza city vs Mombasa city kwababu kisumu size yake ni Iringa city au Dodoma city kwasababu hata Arusha hiko vizuri mara mbili ya kisumu.Makasiriko sitaki
Nitafutie suburbs kama hizi Nairobi haraka
Lakini ninavyojua Iriga sio city lakini Dodoma ni city, asante kiongozi wangu dpresident.Hii hapa isamilo na mwananchi nimetafuta naona bwiru bado haijatumwa humu na hizi ni mitaa miwili tofauti na ziko mbali mbali,Inabidi tubadilishe hii forum ili isomeke Mwanza city vs Mombasa city kwababu kisumu size yake ni Iringa city au Dodoma city kwasababu hata Arusha hiko vizuri mara mbili ya kisumu.
Ulimuona huko? Au no simulizi za kwenye mitandao.... JPM akuwai kwenda Kenya wakati wa ugonjwa wake. Kama ni hivyo. Raila na Uhuru wangeenda kumwangalia. Au ulinzi ungekuwa mkubwa sana sehemu alikolanzwa. Hiyo ni mambo ya tweet na Facebook na lissu na Mbowe. Sababu awakujua aliko lazwambona basi Magufuli ali preffer kutibiwa kenya na sio muhimbili hsp!??..
Mendeleo ya jiji sio flyover pekee ndo maana nasema kila siku wakenya mna matatizo kichwani mnachojua ni kiingereza tu.Mji unajengwa flyover wakati huo usafiri wa jamii/public ni baiskeli ya mkulima hizo ni akili au matope??Kisumu ndo jiji la ajabu duniani kutumia usafiri wa baiskeli.Njooni mwanza mjifunze mwanza ina huduma za usafari ambazo hata nairobi haina,mwanza ina bus terminala ambazo hata nairobi haina,Mwanza ina hospitali ambazo hata mombasa haina,mwanza ina shopping complex ambayo hata mombasa haina mwanza ina bridges fecilities ambazo hata Nairobi haina,mwanza ina industries ambazo mombasa haina,mwanza ni center ya dhahabu afrika mashariki,mwanza center ya usafirishaji ziwa nyanza au victoria sasa kuna meli kubwa ya abiria inaitwa Mv New Mwanza itaanza kuja mpaka huko Kisumu jiandaeni.Ila nawaombeni mwambieni kiongozi wa city ya kisumu hatoe baiskeli barabarani mnatuabisha waafrika wenzenu inakuwaje ujenge flyover ushindwe kuwa na mfumo mzuri wa usafiri mzuri wa abiri mjini
Did you really attend any school? Developed countries are reverting to using bicycles as their mode of public transport yet you are here talking nonsense. In fact Kisumu has better integrated mode of Transport than Mwanza, Does Mwanza have NMT? When it comes to shopping I think Mwanza should just compete with Turkana cause it can't withstand any urban center in Kenya. Kisumu has better and more hospitals than Mwanza, ukipinga tunaenza battle ya hospitals, which industries are there in Mwanza? Mwanza ingekuwa na industries mingi kuliko hata Nakuru ingekuwa na GDP kubwa kuliko Nakuru, so forget about Kisumu and Mombasa.Mendeleo ya jiji sio flyover pekee ndo maana nasema kila siku wakenya mna matatizo kichwani mnachojua ni kiingereza tu.Mji unajengwa flyover wakati huo usafiri wa jamii/public ni baiskeli ya mkulima hizo ni akili au matope??Kisumu ndo jiji la ajabu duniani kutumia usafiri wa baiskeli.Njooni mwanza mjifunze mwanza ina huduma za usafari ambazo hata nairobi haina,mwanza ina bus terminala ambazo hata nairobi haina,Mwanza ina hospitali ambazo hata mombasa haina,mwanza ina shopping complex ambayo hata mombasa haina mwanza ina bridges fecilities ambazo hata Nairobi haina,mwanza ina industries ambazo mombasa haina,mwanza ni center ya dhahabu afrika mashariki,mwanza center ya usafirishaji ziwa nyanza au victoria sasa kuna meli kubwa ya abiria inaitwa Mv New Mwanza itaanza kuja mpaka huko Kisumu jiandaeni.Ila nawaombeni mwambieni kiongozi wa city ya kisumu hatoe baiskeli barabarani mnatuabisha waafrika wenzenu inakuwaje ujenge flyover ushindwe kuwa na mfumo mzuri wa usafiri mzuri wa abiri mjini
Acha uongo chukua Nyundo ya uchumi hapo chini uone kisumu inaingia mara ngapi kwa mwanza acha maneno mengi ya kuongea bila facts.Did you really attend any school? Developed countries are reverting to using bicycles as their mode of public transport yet you are here talking nonsense. In fact Kisumu has better integrated mode of Transport than Mwanza, Does Mwanza have NMT? When it comes to shopping I think Mwanza should just compete with Turkana cause it can't withstand any urban center in Kenya. Kisumu has better and more hospitals than Mwanza, ukipinga tunaenza battle ya hospitals, which industries are there in Mwanza? Mwanza ingekuwa na industries mingi kuliko hata Nakuru ingekuwa na GDP kubwa kuliko Nakuru, so forget about Kisumu and Mombasa.
So after vomiting nonsense, here are the facts that you can't deny.
1. Kisumu has bigger economy than Mwanza.
2. Kisumu has more industries than Mwanza.
3. Kisumu has better and longer road network than Mwanza.
4. Kisumu has better hospitality than Mwanza.
5. Kisumu has better real estate than Mwanza.
6. Kisumu has more and better health facilities than Mwanza.
7. Kisumu has more shopping malls than entire Tanzania.
8. Kisumu has better and busier airport than Mwanza.
9. Kisumu port is more efficient than Mwanza port.
10. Kisumu has more sporting facilities than Mwanza.
11. Kisumu is cleaner than Mwanza.
12. Kisumu has more footbridges than Mwanza.
13. Kisumu has more research centers than Mwanza.
14. Kisumu has better modern markets than Mwanza.
Hata Nairobi yenyewe imepitwa na Dar na pia wealth kwa kenya inaonekana iko concentrated in Nairobi tuu others cities are a far cry from NairobiAcha uongo chukua Nyundo ya uchumi hapo chini uone kisumu inaingia mara ngapi kwa mwanza acha maneno mengi ya kuongea bila facts. View attachment 1809973View attachment 1809974
Kisumu is making ends to ensure it achieves Global City Status. Projects are in each corner of the city and when complete Kisumu will be a true city
View attachment 1809988
Hiyo report ilitoka mwaka gani? Kubishana na nyie ni sawa na kupoteza muda bure, mlichowazidia Mwanza ni ka flyover uchwara hakuna kingine.Did you really attend any school? Developed countries are reverting to using bicycles as their mode of public transport yet you are here talking nonsense. In fact Kisumu has better integrated mode of Transport than Mwanza, Does Mwanza have NMT? When it comes to shopping I think Mwanza should just compete with Turkana cause it can't withstand any urban center in Kenya. Kisumu has better and more hospitals than Mwanza, ukipinga tunaenza battle ya hospitals, which industries are there in Mwanza? Mwanza ingekuwa na industries mingi kuliko hata Nakuru ingekuwa na GDP kubwa kuliko Nakuru, so forget about Kisumu and Mombasa.
So after vomiting nonsense, here are the facts that you can't deny.
1. Kisumu has bigger economy than Mwanza.
2. Kisumu has more industries than Mwanza.
3. Kisumu has better and longer road network than Mwanza.
4. Kisumu has better hospitality than Mwanza.
5. Kisumu has better real estate than Mwanza.
6. Kisumu has more and better health facilities than Mwanza.
7. Kisumu has more shopping malls than entire Tanzania.
8. Kisumu has better and busier airport than Mwanza.
9. Kisumu port is more efficient than Mwanza port.
10. Kisumu has more sporting facilities than Mwanza.
11. Kisumu is cleaner than Mwanza.
12. Kisumu has more footbridges than Mwanza.
13. Kisumu has more research centers than Mwanza.
14. Kisumu has better modern markets than Mwanza.
Mwambie akupe facts!Hiyo report ilitoka mwaka gani? Kubishana na nyie ni sawa na kupoteza muda bure, mlichowazidia Mwanza ni ka flyover uchwara hakuna kingine.