Kisumu vs Mwanza

Tetema huko Tandale [emoji23]View attachment 2122359
Nyumba za Tanzania zimejengwa kwa matofali ya pamoja na cement halafu juu wakaezeka na mabati lakini kenya robo tatu ya wakazi wao wanaishi kwenye nyumba za bati kuanzia chini mpaka juu(full suit) ambazo huku Tanzania ni mabanda ya kufugia kuku,sungura,ng'ombe au mbwa.....kwahiyo nyie ni mbwa tu
 
Hivi ushaona lini slum za Tanzania zikafanana na za kwenu…? Hili eneo likija pale Nairobi mtapaita middle class area

Hapa ni eneo wanapoishi wakazi wengi wa nchi ya kenya [emoji116][emoji116]

View attachment 2122671
Heri Kibera mara elfu kumi ju Hata Kibera ni ndogo Sana. Dar Kila Mahali Yani ni Slum. Kibera areal view Unaweza ona mwisho na mwanzo lakini Dar ni kila Mahali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heri kuhangaika Kenya kuliko Tanzagiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…