Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Umekosa angle ya vichaka za Mwanza ukaona uweke Dar kama okoa jahazi[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosa angle ya vichaka za Mwanza ukaona uweke Dar kama okoa jahazi[emoji23]
Tetema huko Tandale [emoji23]
Mitaro za Mtwara[emoji23]. Tanzania kumbe ni slum tupu. Diamond anatuonyesha suburbs zenuUkipata muda nenda manyatta estate pale kisumu halafu unipe majibu inshort nimeishi sana kenya hasa kisumu,kiukweli kenya kuna hali mbaya sana ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja
View attachment 2122335
Hiyo ni kenyatta road kama unabsha Google uone acha wivu utakuuaUmekosa angle ya vichaka za Mwanza ukaona uweke Dar kama okoa jahazi[emoji23]
Hivi ushaona lini slum za Tanzania zikafanana na za kwenu…? Hili eneo likija pale Nairobi mtapaita middle class areaMitaro za Mtwara[emoji23]. Tanzania kumbe ni slum tupu. Diamond anatuonyesha suburbs zenuView attachment 2122368
Nyumba za Tanzania zimejengwa kwa matofali ya pamoja na cement halafu juu wakaezeka na mabati lakini kenya robo tatu ya wakazi wao wanaishi kwenye nyumba za bati kuanzia chini mpaka juu(full suit) ambazo huku Tanzania ni mabanda ya kufugia kuku,sungura,ng'ombe au mbwa.....kwahiyo nyie ni mbwa tuTetema huko Tandale [emoji23]View attachment 2122359
Hua mko obsessed na umaskini. 😂😂😂 Nilidhani utanionyesha Suburbs in Mwanza.Ukipata muda nenda manyatta estate pale kisumu halafu unipe majibu inshort nimeishi sana kenya hasa kisumu,kiukweli kenya kuna hali mbaya sana ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja
View attachment 2122335
Eti Mwanza 😂😂😂😂 Unaota mchana.
Rock City linganisha na Nairobi sio hicho kijiji chenu cha kisumu[emoji1321]♂
Heri Kibera mara elfu kumi ju Hata Kibera ni ndogo Sana. Dar Kila Mahali Yani ni Slum. Kibera areal view Unaweza ona mwisho na mwanzo lakini Dar ni kila Mahali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hivi ushaona lini slum za Tanzania zikafanana na za kwenu…? Hili eneo likija pale Nairobi mtapaita middle class area
Hapa ni eneo wanapoishi wakazi wengi wa nchi ya kenya [emoji116][emoji116]
View attachment 2122671
Chuo kikubwa cha aina yake ukanda huu chaja Mwanza, kitapokea wanafunzi kutoka nchi zote za ukanda huu