Kisumu vs Mwanza

Unashabikia bila evidence... Mmeshindwa kuweka cha maana zaidi ya airport bubu...sa sijui unafurahia nn hapo...mbona mkiwekewa picha na video mnahamia kwenye mada ya airport[emoji3]
My friend wacha kujifunga.
Ati tumeshindwa kuweka Cha maana Zaidi ya airport na nyinyi hata barabara hamuezi Leta hapa. Tuletee barabara we compare Kama unajiamini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Our 2nd city Mombasa has a bigger port than dslum their main city [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msukuma ndio anifundishe mm kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km neno subutu tu hujawai liskia kisha unajitapa na kiswahili...
Km hujui kitu makinika bana usome rada kwanza...

Kisha hapa tunaongelea aerial view jomba?
 
Sasa ww unajua kuliko TUKI...,kuliko TATAKI...kuliko OXFORD....si nimekuwekea kamusi hapo...umeiona hiyo subutu yako?...haya tafuta thubutu kama utaikosa...u pretend to know everything kumbe u know nothing...hata geography hujui njoo my son akupige msasa..
 
Tuki my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakwambia kiswahili labda watu wa unguja ndio wanaweza nifunza lkn sio lisukuma la chato...

Huyo mtoto wako anifunze kw elimu gani hyo...
Manake elimu yenu ina part one(kiswahili) na part two(kingereza)
 
Japo mi si msukuma ila msukuma anaongea kiswahili kizuri kuliko wewe...yaani mi nilishakuambia unajiona unajua kumbe hujui[emoji3]....si kheri ungetulia nilivyokusahihisha kuliko kuendelea kujivua nguo...elimu ya photograph inafundishwa primary class 6...my son kamaliza elimu ya msingi unaonaje nikuunganishie uwe duki..
 
Kwhyo sai yuko part two ama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiswahili bado hakijajikidhi jomba, ama hujui kisawahili ni maneno yaliyo toholewa kutoka lugha zingine na kuletwa pamoja..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Mwanza City.
Hebu acheni kufananisha Mwanza na vimji vya kijinga. Kila kitu mmerundika Nairobi
 
Attachments

  • tapatalk_1574615781632.jpeg
    66.4 KB · Views: 1
Mwanza Mwanza
 
Attachments

  • tapatalk_1574615683329.jpeg
    46.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…