Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Unashabikia bila evidence... Mmeshindwa kuweka cha maana zaidi ya airport bubu...sa sijui unafurahia nn hapo...mbona mkiwekewa picha na video mnahamia kwenye mada ya airport[emoji3]
My friend wacha kujifunga.
Ati tumeshindwa kuweka Cha maana Zaidi ya airport na nyinyi hata barabara hamuezi Leta hapa. Tuletee barabara we compare Kama unajiamini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Our 2nd city Mombasa has a bigger port than dslum their main city [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CAPRIPOINT MWANZA
tapatalk_1574524309264.jpeg
tapatalk_1574524245911.jpeg
tapatalk_1574524241027.jpeg
 
Kuna aina mbili za aerial photograph; vertical aerial na oblique aerial...,wote hapo tumeweka aina moja ya picha ambayo ni oblique aerial.... Sasa hapo sijui unanifundisha mm au mm ndo nikufundishe wewe...
Halafu nyang'au mnabishanaje na mtanzania kiswahili?.... 'Subutu' ndo nn[emoji16][emoji3] Kamusi ya Kiswahili | Oxford Living Dictionaries
Msukuma ndio anifundishe mm kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km neno subutu tu hujawai liskia kisha unajitapa na kiswahili...
Km hujui kitu makinika bana usome rada kwanza...

Kisha hapa tunaongelea aerial view jomba?
 
Sasa ww unajua kuliko TUKI...,kuliko TATAKI...kuliko OXFORD....si nimekuwekea kamusi hapo...umeiona hiyo subutu yako?...haya tafuta thubutu kama utaikosa...u pretend to know everything kumbe u know nothing...hata geography hujui njoo my son akupige msasa..
 
Tuki my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakwambia kiswahili labda watu wa unguja ndio wanaweza nifunza lkn sio lisukuma la chato...

Huyo mtoto wako anifunze kw elimu gani hyo...
Manake elimu yenu ina part one(kiswahili) na part two(kingereza)
 
Japo mi si msukuma ila msukuma anaongea kiswahili kizuri kuliko wewe...yaani mi nilishakuambia unajiona unajua kumbe hujui[emoji3]....si kheri ungetulia nilivyokusahihisha kuliko kuendelea kujivua nguo...elimu ya photograph inafundishwa primary class 6...my son kamaliza elimu ya msingi unaonaje nikuunganishie uwe duki..
 
Kwhyo sai yuko part two ama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Japo mi si msukuma ila msukuma anaongea kiswahili kizuri kuliko wewe...yaani mi nilishakuambia unajiona unajua kumbe hujui[emoji3]....si kheri ungetulia nilivyokusahihisha kuliko kuendelea kujivua nguo...elimu ya photograph inafundishwa primary class 6...my son kamaliza elimu ya msingi unaonaje nikuunganishie uwe duki..
Kiswahili bado hakijajikidhi jomba, ama hujui kisawahili ni maneno yaliyo toholewa kutoka lugha zingine na kuletwa pamoja..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20191123-221750_Opera%20Mini%20beta~2.jpeg
 
Mwanza City.
Hebu acheni kufananisha Mwanza na vimji vya kijinga. Kila kitu mmerundika Nairobi
tapatalk_1574616255504.jpeg
tapatalk_1574615920578.jpeg
tapatalk_1574615821391.jpeg
tapatalk_1574615781632.jpeg
 
Attachments

  • tapatalk_1574615781632.jpeg
    tapatalk_1574615781632.jpeg
    66.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom