Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Hahaha relax bro.... Sindano zimekuwa kali..... Umepewa facts na picha bado hutaki kuamini..... Yaani ww yule Tomaso akasome kwako....
Pinga hoja kiakili.... Kisumu,sijui Eldoret mapicha yake yote tumeyaona lakini wapi vumbi tu...... Sehemu zingine usiapply utoto uzur.... Hoja inajibiwa kwa hoja huo ndio ukidume....
Haya tunaendelea hatujaacha...


Pwahahahahaa.Kwa Mdomo nyie ni Messi....Kuleni Ushamba na Ujamaa wenu.The only city in Tanzania is Dar is a slum
 
Yaani aerial view ya mwanza ni ndogo sana hata kwa Arusha
Lile jengo upande wa kuliaambalo halijafanyiwa cladding ni jengo gani au ndo hotel ya nssf? But mji umebadilika kidogo i used to be there 4 years ago
Mji wa Mwanza umezungukwa na vilima ndio maana huwezi kuona clear view ya mji wote kwa wakati mmoja. Na hizo picha nyingi ni za mjini nako siyo full view ya mji mzima. Ukitaka kupata picha ya mji mzima wa Mwanza lazima Aerial view yake ichukuliwe kutoka juu sana kitu ambacho kinafanya majengo kuonekana mdogo sana. Mwanza ni kubwa sana kuliko Arusha hata kwa eneo pia.
 
Mwanza City
mwanza.jpeg
28313112047_b0d082e307_b.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kujenga makazi kwenye vilima limeharibu sana mpangilio wa mji mbaya zaidi wengi waliojenga ni walalahoi ,angalau huku kapri point wamejenga wenye uwezo
Kuna kipindi Magufuli akiwa waziri wa Ardhi (Wakati wa serikali ya awamu ya nne) alitaka watu waliojenga milimani (walalahoi) wahamishwe wapewe maeneo mengine hilo suala lilileta sintofahamu na likaisha kimya kimya tu. Lakin pamoja na makazi duni yaliyojengwa milimani bado huwezi kufananisha na slums za Kenya hata Kidogo!
 
Kuna kipindi Magufuli akiwa waziri wa Ardhi (Wakati wa serikali ya awamu ya nne) alitaka watu waliojenga milimani (walalahoi) wahamishwe wapewe maeneo mengine hilo suala lilileta sintofahamu na likaisha kimya kimya tu. Lakin pamoja na makazi duni yaliyojengwa milimani bado huwezi kufananisha na slums za Kenye hata Kidogo!
Serikali ingefanya hivyo ili wawape maeneo mengine kama walivyowapa kule magwepande nk ili kulinda mandhari ya mji wapande miti tuu
 
Back
Top Bottom