Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

FACTS WILL REMAIN FACTS:Tanzania doesn't have cities it is only Dar is a slum...... All the rest combined can't reach the level of Mombasa. They are merely Ujamaa villages. Acheni kujilazimisha na mipichapicha hapa
Ni kweli miji mingi haijafikia level ya Mombasa,swali kwani kwa kuwa haijafikia level ya mombasa ndio sio cities? Mfano Mombasa haijafikia level ya Dar kwa hiyo sio city? jameni cities zinatofautiana ukubwa
 
1576834610139.png
 
Mwanza is our second largest city in Tanzania, ni aibu kuilinganisha na Kisumu which is ya ngap sijui ya tatu kwao huko....

Kisumu should be compared to Bukoba au Arusha labda ila sio Mwanza.. ni kuikosesha heshima yake inayostahili Mwanza

Mwanza against Mombasa
second city vs second city
The battle is over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza is our second largest city in Tanzania, ni aibu kuilinganisha na Kisumu which is ya ngap sijui ya tatu kwao huko....

Kisumu should be compared to Bukoba au Arusha labda ila sio Mwanza.. ni kuikosesha heshima yake inayostahili Mwanza

Mwanza against Mombasa
second city vs second city
The battle is over

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumejitahidi kuwawekea japo picha chache ili kuwafundisha hawa Chang'aa & Nyang'au Kenyans. Watakuwa wamepata somo barabara kabisa maana tukiwaacha watatusumbua sana. Ni kuwapa kichapo tu kama cha Nduli.
 
Huku ni tofauti na nyinyi huko, apartments za huku nyingi huishi wafanyakazi wa serikali i.e policeman, doctors, etc sababu wao wanahamishwa muda wowote lakini unakuta ana nyumba yake hata Singida huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unamdanganya nani hapa, ikiwa uswazi tu watu wanapanga na wengi wao hawafanyi kazi serikali...

Kuna watu wapo masaki wamepanga na wala sio wafanyikazi wa setiakali



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo slums zipo katika hifadhi ya serekali, pale hamna anayemiliki kiwanja..anytime wanaondolewa tofauti na uswazi watu wanamiliki zile nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huku sehemu ambazo watu wamejenga bila mpangilio vizuri unakuta eneo kubwa lilikuwa linamilikiwa na wazawa wa eneo hilo, sasa mji unapozidi kupanuka hata kabla mpango mji hawajapima hayo maeneo wamiliki wanakuwa washawauzia watu bila mpangilio sahihi na wameshajenga, but watakao bomolewa nyumba zao ni walio kwenye mpango ambapo barabara zitapita na ni zoezi kweli kweli coz lazima walipwe fidia
 
Back
Top Bottom