Kisumu vs Mwanza



Pwahahahahaa.Kwa Mdomo nyie ni Messi....Kuleni Ushamba na Ujamaa wenu.The only city in Tanzania is Dar is a slum
 
Yaani aerial view ya mwanza ni ndogo sana hata kwa Arusha
Lile jengo upande wa kuliaambalo halijafanyiwa cladding ni jengo gani au ndo hotel ya nssf? But mji umebadilika kidogo i used to be there 4 years ago
Mji wa Mwanza umezungukwa na vilima ndio maana huwezi kuona clear view ya mji wote kwa wakati mmoja. Na hizo picha nyingi ni za mjini nako siyo full view ya mji mzima. Ukitaka kupata picha ya mji mzima wa Mwanza lazima Aerial view yake ichukuliwe kutoka juu sana kitu ambacho kinafanya majengo kuonekana mdogo sana. Mwanza ni kubwa sana kuliko Arusha hata kwa eneo pia.
 
Suala la kujenga makazi kwenye vilima limeharibu sana mpangilio wa mji mbaya zaidi wengi waliojenga ni walalahoi ,angalau huku kapri point wamejenga wenye uwezo
Kuna kipindi Magufuli akiwa waziri wa Ardhi (Wakati wa serikali ya awamu ya nne) alitaka watu waliojenga milimani (walalahoi) wahamishwe wapewe maeneo mengine hilo suala lilileta sintofahamu na likaisha kimya kimya tu. Lakin pamoja na makazi duni yaliyojengwa milimani bado huwezi kufananisha na slums za Kenya hata Kidogo!
 
Serikali ingefanya hivyo ili wawape maeneo mengine kama walivyowapa kule magwepande nk ili kulinda mandhari ya mji wapande miti tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…