Kisumu vs Mwanza

Hakuna nchi inaitwa Zanzibar ndugu labda muungano ufe...kwan ukisikia Zanzibar city unaelewa nn?
Remember tunaangalia inavyochuliwa na taasisi za kimataifa
Hta sai pia hakuna nchi inaitwa tanganyika, kwa sababu muungano ulivunja vunja kila kitu...

Lkn kinachonishangaza mm ni kitu kidogo, ofisi za uhamiaji ni za nn tena wakati zanzibar ipo tanzania tayari...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaaaa!!!!si unaumia sana jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani habarizngine bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo uswazi ndio habari ya mjini sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo dar bado hamna la kufanya kuhusiana na uswazi, manake kuwaondoa kisheria hamuwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!jiji lina mpka rais, tena huaga anapigiwa kura...
Jiji lina ofisi zake za uhamiaji..

Chenga hizi walai

Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar inajumuisha visiwa viwili Unguja na Pemba, sasa na wewe tafuta huko ujue either Zanzibar city iko Unguja au Pemba! na ndio mji uliobeba jina la muunganiko wa hivyo visiwa viwili, inaonekana walimu wako walipata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…