Slum Nairobi sio Kibera tu, kwa hiyo hizo 4750km na apartments/hostels?Kibera is 2.5 square kilometres. Nairobi is 500 square kilometres. Kama wakenya hawana uwezo wa kununua ardhi hao wengine wanaomiliki ardhi nje ya kibera walipewa hiyo ardhi kama zawadi? Wacha kutumia ubongo kama bakuli
Swala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango
Tuletee makazi ya watu kwenye miji yenu tofauti na hizo hostels na slums, au ni kama mtu hayuko kwenye slums basi yupo kwenye hostels?Swala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango
Yaan sijawahi ona makazi kwenye miji yenu tofauti na slums na hostels, πππππooohhh! Eti apartments watu wananunua, zingine ziko kama hostels exactly afu mtu anunue? Jifunze kudanganya vizuri, ππππTuletee makazi ya watu kwenye miji yenu tofauti na hizo hostels na slums, au ni kama mtu hayuko kwenye slums basi yupo kwenye hostels?
ReminderThe projects Mwanza alone has launched can not be found in the whole of Kenya! I mean it nowhere to be seen in the whole of Kenya;
Miradi Mwanza
BTW JPM kazindua miradi ya zaidi ya Tshs 800 bln ila ukijumlisha miradi ya upanuzi wa hospitali mbili Seko Toure na ya wilaya ya Nyamagana iliyozinduliwa na Rais Shein na Makamo wa Rais Mama Samia na ule wa Waziri Mkuu Majaliwa wa uwanja wa ndege (cargo, passengers terminals plus runway extension) JPM na serikali yake imezindua miradi isiyopungua $500 mln Mwanza alone! Hapo miradi ya Hospitali ya Mara Kwangwa na ya wilaya ya Chato haijaguswa. Ule uwanja wa Chato pia haujaguswa!
Eti Nairobi is 500+square kilometers na Kibera slums is only 2.5 square kilometers! Sasa hizo zilizo baki more than 497square kilometers ziko occupied na hostels/Apartments? Kama sivyo leta hapa tuone kuna nini kwenye hizo more than 497 square kilometers ππππna usituletee hostels hapaSwala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango
Ndio hizi hapa π π π I own own my dream house in one of these places belowEti Nairobi is 500+square kilometers na Kibera slums is only 2.5 square kilometers! Sasa hizo zilizo baki more than 497square kilometers ziko occupied na hostels/Apartments? Kama sivyo leta hapa tuone kuna nini kwenye hizo more than 497 square kilometers ππππna usituletee hostels hapa
Ndio hizi hapa π π π I own own my dream house in one of these places below View attachment 1302754View attachment 1302755View attachment 1302756View attachment 1302757View attachment 1302759View attachment 1302760
Ulete lower oblique photo kama hizi sio unaleta aerial hapa ambazo hazina uhalisia na zimechukuliwa kwa mbali ebu zoom tuone vizuri
Zoom wengine wana eye problems nao wajionee mambo hayaNdio hizi hapa π π π I own own my dream house in one of these places below View attachment 1302754View attachment 1302755View attachment 1302756View attachment 1302757View attachment 1302759View attachment 1302760
Mbona unapenda kujiaibisha broh? Compare that place with Riat hills.Yaan wakenya ukiwaambia wakuletee makazi ya watu tofauti na zile hostels na slums unakuwa umewafukuza. yaan alete makazi kama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1302808View attachment 1302808
I don't think you should lecture us on anything dealing with residential sector. This is Arina Estate, Kisumu.Yaan wakenya ukiwaambia wakuletee makazi ya watu tofauti na zile hostels na slums unakuwa umewafukuza. yaan alete makazi kama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1302808View attachment 1302808
Compare that dirt with Mamboleo estate, Kisumu.Yaan wakenya ukiwaambia wakuletee makazi ya watu tofauti na zile hostels na slums unakuwa umewafukuza. yaan alete makazi kama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1302808View attachment 1302808
Compare that dirt with this.Yaan wakenya ukiwaambia wakuletee makazi ya watu tofauti na zile hostels na slums unakuwa umewafukuza. yaan alete makazi kama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1302808View attachment 1302808
Umeyapenda sivyo?Zoom wengine wana eye problems nao wajionee mambo haya
Next time do your research properly before you diarrhoea those your stinking words. This is Milimani Estate, Kisumu.
Niendelee ama? Usitujaribu tena kwa residential sector.Yaan wakenya ukiwaambia wakuletee makazi ya watu tofauti na zile hostels na slums unakuwa umewafukuza. yaan alete makazi kama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1302808View attachment 1302808
Yaan sijui una akili gani nishasema usilete hostels hapa bado unaleta yale yale πππNext time do your research properly before you diarrhoea those your stinking words. This is Milimani Estate, Kisumu.View attachment 1302856
Sent using Jamii Forums mobile app