Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Kibera is 2.5 square kilometres. Nairobi is 500 square kilometres. Kama wakenya hawana uwezo wa kununua ardhi hao wengine wanaomiliki ardhi nje ya kibera walipewa hiyo ardhi kama zawadi? Wacha kutumia ubongo kama bakuli
Slum Nairobi sio Kibera tu, kwa hiyo hizo 4750km na apartments/hostels?
[/QUOTE]
Ndio, they are not dream houses za Dar
 
Swala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango

Tuletee makazi ya watu kwenye miji yenu tofauti na hizo hostels na slums, au ni kama mtu hayuko kwenye slums basi yupo kwenye hostels?
 
Yaan sijawahi ona makazi kwenye miji yenu tofauti na slums na hostels, 😂😂😂😂😂ooohhh! Eti apartments watu wananunua, zingine ziko kama hostels exactly afu mtu anunue? Jifunze kudanganya vizuri, 😇😇😇😇
 
The projects Mwanza alone has launched can not be found in the whole of Kenya! I mean it nowhere to be seen in the whole of Kenya;

Miradi Mwanza
BTW JPM kazindua miradi ya zaidi ya Tshs 800 bln ila ukijumlisha miradi ya upanuzi wa hospitali mbili Seko Toure na ya wilaya ya Nyamagana iliyozinduliwa na Rais Shein na Makamo wa Rais Mama Samia na ule wa Waziri Mkuu Majaliwa wa uwanja wa ndege (cargo, passengers terminals plus runway extension) JPM na serikali yake imezindua miradi isiyopungua $500 mln Mwanza alone! Hapo miradi ya Hospitali ya Mara Kwangwa na ya wilaya ya Chato haijaguswa. Ule uwanja wa Chato pia haujaguswa!

Reminder
 
Swala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango
Eti Nairobi is 500+square kilometers na Kibera slums is only 2.5 square kilometers! Sasa hizo zilizo baki more than 497square kilometers ziko occupied na hostels/Apartments? Kama sivyo leta hapa tuone kuna nini kwenye hizo more than 497 square kilometers 😂😂😂😂na usituletee hostels hapa
 
Ndio hizi hapa 😂 😂 😂 I own own my dream house in one of these places below
PhotoGrid_1576093166214.jpg
manzese980d6ac60f714237b61d83162fdc3f0resize750.jpeg
images(34).jpg
tapatalk_1567199234954.jpeg
gettyimages-169758289-612x612.jpg
Screenshot_20190928-132332.png
 
Yaan wakenya ukiwaambia wakuletee makazi ya watu tofauti na zile hostels na slums unakuwa umewafukuza. yaan alete makazi kama 👇👇👇👇👇👇
mwanza-rock-city-tanzania-260nw-1580108956.jpg

Back
Top Bottom