Kisumu vs Mwanza

Hata kujiongeza tu kwamba licha ya picha kuchukuliwa kwa juu sana kutoka kwenye ndege lakini haijaweza kucover hata nusu ya CBD hawawezi hawa viumbe
 
mzee baba haya majitu yanajua kuongea lugha ya wakoloni tu, ukija kwenye kuchanganua mambo mathematically /physically yana poteana sana
Lugha yenyewe imechanganyika na kikikuyu...their English is not perfect... Kheri yetu sisi tunaongea the most correct Swahili duniani.... Hawa wenyewe wanajua kukurupuka tu na kujisifia ujinga...nothing else..
 
Hii mwanza imechakaa sana,
Lazma imejaa masikini,
Tanzania after Dar, Arusha pekee ndio naipa heshima,
Iko ATLEAST organize with cool estates,,,,not kama ile mji wa Samaki shaghalabagala
 
Hii mwanza imechakaa sana,
Lazma imejaa masikini,
Tanzania after Dar, Arusha pekee ndio naipa heshima,
Iko ATLEAST organize with cool estates,,,,not kama ile mji wa Samaki shaghalabagala
Sure nakwambia, na muda utaongea in five years to come Dodoma city will be ahead of Arusha
 
Hii mwanza imechakaa sana,
Lazma imejaa masikini,
Tanzania after Dar, Arusha pekee ndio naipa heshima,
Iko ATLEAST organize with cool estates,,,,not kama ile mji wa Samaki shaghalabagala
Bro bring your city's aerial view.... Mkono mtupu haulambwi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…