Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hiyo picha imechukuliwa juu mno kiasi kwamba huwezi ona barabara za michepuko kwa urahisi...hiyo barabara inayoiona ni 4 lane na kuna sehemu inakuwa six lane...sasa kama 6 lane inaonekana hivyo vipi kwa upande wa michepuko ambayo sanasana ni 2 lane itaonekana kweli...kwa kukusaidia tu hiyo barabara from city center to airport ina michepuko zaidi ya nane...na ndiyo sababu huku daladala zina route nyingi....kuichambua hiyo picha isn't a rocket science.... Ni vile tu watu ka ninyi tunawasaidia ili muelewe.Khaa!!km bomu aisee..
Barabara ni moja imekatiza mpka ziwani[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app