Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Mwambie alete na ile Slum iliyoko Kisumu
Haha hawezi leta...hizo picha anazoweka ndo best...halafu hako kapicha ka flyover kila akibishana lazima akaweke...kakarudia mara nyinginyingi kweli...ndo anapojifichia hapo... Hahahahahahh
 
Tuletee makazi ya watu kwenye miji yenu tofauti na hizo hostels na slums, au ni kama mtu hayuko kwenye slums basi yupo kwenye hostels?
Yani hapo unajione umeuliza swali bomba kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuanze kutuma makaazi ya middle class dar vs nairobi tuone nani atapumulia mashine sai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilisoma comment yako flani ukisema definition ya hostels ni nyumba zilizofanana...
Yani nilicheka sana walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumwelewa tu...wapi alidefine hostel ni nyumba zinazofanana....yule mchizi wenu alileta picha ya nyumba nyumba hapa na zilikuwa zikifanana ambapo pia hiyo ni sifa ya hostel...ukiona moshi mahali utajua mahali pale kuna moto...lakini moshi si moto...ni dalili tu ya moto....hivyo mfanano wa nyumba ni dalili kabisa za kuwa ni hostel...lakini hostel sio mfanano wa nyumba....mdau yupo sahihi kabisa..
 
Mtanzania hajaijua chochote. Yesterday I asked that witch the definition of a hostel and do you know what he told me? Eti ni manyumba zinafanana. Wewe plus yeye ni wajinga wote if you also reason like him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
W
Wewe ndio unatakiwa utembee uone miji ilivyo jengwa, sio mnaita sehemu city wakati haina hata hadhi! Yaan hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1304197ina hadhi gan ya kuwa city
Hebu tuletee skyline ya mwanza village [emoji23][emoji23].[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]
ukerewetrip-205.jpeg
 
Hivi city center ya kisumu ndo ina hivyo vigorofa viwili vitatu cjui...
Kisumu nikubwa Sana haiwezi toshea kwa picha moja Kama Mwanza na ndio maana nikiitisha Estates za Mwanza huwezi kuzileta ju haziko. Kwa buildings Bado Kisumu imelemea Mwanza Tena by far so usijidanganye bro. Mkifika hapa Nitag[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
HUDUMA-504x336.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_15762295933797861.jpeg
    FB_IMG_15762295933797861.jpeg
    22.5 KB · Views: 2
Leta Estate za Mwanza wacha Pang'ang'a
Nilishasema sifanyi marudio...mm ndo niliweka picha zake humu...tena hazipo hata mbali....anzia post ya #800 kurudi chini utapata picha zake nyingi tu...nishakwambia usikaririshe watu uwongo kwa uvivu wako...mm siwezi kuanza kutafuta picha na kuzipakua mara ya pili sifanyi ujinga huo... Nshakupa muongozo hutaki acha..
 
Hukumwelewa tu...wapi alidefine hostel ni nyumba zinazofanana....yule mchizi wenu alileta picha ya nyumba nyumba hapa na zilikuwa zikifanana ambapo pia hiyo ni sifa ya hostel...ukiona moshi mahali utajua mahali pale kuna moto...lakini moshi si moto...ni dalili tu ya moto....hivyo mfanano wa nyumba ni dalili kabisa za kuwa ni hostel...lakini hostel sio mfanano wa nyumba....mdau yupo sahihi kabisa..
Na wewe umekuja kumsaidia kulia[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom