Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Yaan hata Dodoma iko vizuri mzee babaHivi city center ya kisumu ndo ina hivyo vigorofa viwili vitatu cjui...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan hata Dodoma iko vizuri mzee babaHivi city center ya kisumu ndo ina hivyo vigorofa viwili vitatu cjui...
Haha hawezi leta...hizo picha anazoweka ndo best...halafu hako kapicha ka flyover kila akibishana lazima akaweke...kakarudia mara nyinginyingi kweli...ndo anapojifichia hapo... HahahahahahhMwambie alete na ile Slum iliyoko Kisumu
Alete picha za cbd kwanzaichoboy01 pita huku u-confirm kama kuna Toyota assembly plant Kisumu! Jamaa anapisha si garage!
Tatizo hzo nchi ulizozitaja zinatambulika, kwenu ni tofauti...wa zenji mmewabana hawapumui, yani tangu magu aingie madarakani amewatendea nn wale jamaa kw kweli kabisaIf Scotland, Northern Ireland ni nchi ndani ya United Kingdom sio na zina capitals? If so why not Zanzibar?
Yani hapo unajione umeuliza swali bomba kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuletee makazi ya watu kwenye miji yenu tofauti na hizo hostels na slums, au ni kama mtu hayuko kwenye slums basi yupo kwenye hostels?
Tuisan umeuwa mtu haki ya MunguNiendelee ama? Usitujaribu tena kwa residential sector.
1. Tom Mboya Estate
2. Milimani Estate
3. Kanyakwar
4. Kajulu.View attachment 1302859View attachment 1302860View attachment 1302861View attachment 1302862
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nilisoma comment yako flani ukisema definition ya hostels ni nyumba zilizofanana...Watu mnaoishi kwenye hostels mna matatizo
Maeneo ya watu wanakoishi yako wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]A
Angalia hapa you can't cover mwanza city within a single oblique photo photo[emoji123][emoji123][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1304203View attachment 1304204View attachment 1304205
Hukumwelewa tu...wapi alidefine hostel ni nyumba zinazofanana....yule mchizi wenu alileta picha ya nyumba nyumba hapa na zilikuwa zikifanana ambapo pia hiyo ni sifa ya hostel...ukiona moshi mahali utajua mahali pale kuna moto...lakini moshi si moto...ni dalili tu ya moto....hivyo mfanano wa nyumba ni dalili kabisa za kuwa ni hostel...lakini hostel sio mfanano wa nyumba....mdau yupo sahihi kabisa..Jana nilisoma comment yako flani ukisema definition ya hostels ni nyumba zilizofanana...
Yani nilicheka sana walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania hajaijua chochote. Yesterday I asked that witch the definition of a hostel and do you know what he told me? Eti ni manyumba zinafanana. Wewe plus yeye ni wajinga wote if you also reason like him.Hukumwelewa tu...wapi alidefine hostel ni nyumba zinazofanana....yule mchizi wenu alileta picha ya nyumba nyumba hapa na zilikuwa zikifanana ambapo pia hiyo ni sifa ya hostel...ukiona moshi mahali utajua mahali pale kuna moto...lakini moshi si moto...ni dalili tu ya moto....hivyo mfanano wa nyumba ni dalili kabisa za kuwa ni hostel...lakini hostel sio mfanano wa nyumba....mdau yupo sahihi kabisa..
Hebu tuletee skyline ya mwanza village [emoji23][emoji23].[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]W
Wewe ndio unatakiwa utembee uone miji ilivyo jengwa, sio mnaita sehemu city wakati haina hata hadhi! Yaan hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1304197ina hadhi gan ya kuwa city
Kisumu nikubwa Sana haiwezi toshea kwa picha moja Kama Mwanza na ndio maana nikiitisha Estates za Mwanza huwezi kuzileta ju haziko. Kwa buildings Bado Kisumu imelemea Mwanza Tena by far so usijidanganye bro. Mkifika hapa Nitag[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]Hivi city center ya kisumu ndo ina hivyo vigorofa viwili vitatu cjui...
Leta Estate za Mwanza wacha Pang'ang'aHaha hawezi leta...hizo picha anazoweka ndo best...halafu hako kapicha ka flyover kila akibishana lazima akaweke...kakarudia mara nyinginyingi kweli...ndo anapojifichia hapo... Hahahahahahh
Nilishasema sifanyi marudio...mm ndo niliweka picha zake humu...tena hazipo hata mbali....anzia post ya #800 kurudi chini utapata picha zake nyingi tu...nishakwambia usikaririshe watu uwongo kwa uvivu wako...mm siwezi kuanza kutafuta picha na kuzipakua mara ya pili sifanyi ujinga huo... Nshakupa muongozo hutaki acha..Leta Estate za Mwanza wacha Pang'ang'a
Nakutafutia za makazi nyingine...stay tunedView attachment 1290037View attachment 1290038View attachment 1290040
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umekuja kumsaidia kulia[emoji1787][emoji1787]Hukumwelewa tu...wapi alidefine hostel ni nyumba zinazofanana....yule mchizi wenu alileta picha ya nyumba nyumba hapa na zilikuwa zikifanana ambapo pia hiyo ni sifa ya hostel...ukiona moshi mahali utajua mahali pale kuna moto...lakini moshi si moto...ni dalili tu ya moto....hivyo mfanano wa nyumba ni dalili kabisa za kuwa ni hostel...lakini hostel sio mfanano wa nyumba....mdau yupo sahihi kabisa..
Umeona ee...kisha alivyokua mjinga, ywaja kutetea ujinga...Mtanzania hajaijua chochote. Yesterday I asked that witch the definition of a hostel and do you know what he told me? Eti ni manyumba zinafanana. Wewe plus yeye ni wajinga wote if you also reason like him.
Sent using Jamii Forums mobile app